Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ivan Toney anataka kwenda Arsenal kuliko Chelsea

Fabrizio Romano

Sheria za EPL zinataka usifanye biashara ya mkopo kwa timu moja zaidi ya mchezaji mmoja

Arsenal imeshamalizana na Brentford kuhusu malipo ya Raya ,inachosubiri January moja iwekwe hadharan

Arsenal wanataka kumchukua Ivan Toney kwa mkopo wenye kipengere Cha kulipa Summer

Ivan Toney chaguo lake ni Arsenal

Hii itatoa mwanya kwa Arsenal kufanya biashara maeneo mengine huku ikipata na CF

Pesa itatumika kununua Beki ,kiungo na tutapata CF

Fabrizio Romano on Ivan Toney:

“From what I’m hearing, this is one more detail on Ivan Toney, this is a rumour I’m hearing that his preference in terms of a top club move in January or the summer would be to go to Arsenal. From what I’m hearing Ivan Toney could be really excited by the possibility of joining Arsenal.”

{Kick}
20231215_212201.jpg
 
{Kick}View attachment 2843575
Tukimchukua kwa mkopo itakua materialized Sana

Beki mmoja
Kiungo mmoja

Golini tuna makipa wawili ambao wote ni wazuri

Rowe bado hajatumika vizuri
Fabio Viera

Timber is comy

Partey is back

Stats za Uefa kwenye goals sisi ndio tumekimbiza

Kwenye ligi stats za magoli tupo vizuri, alafu ukija defensively ndio wamoto zaidi

Binafsi naona kiungo tunahitaji zaidi na partey asiuzwe hii January.
Hakuna timu itatamani ikutane na arsenal
Sioni kama Arteta akimuuza Partey January,
 
Nakubaliana na wewe
Uongozi wa Chelsea una upumbavu mwingi yule dogo Andrey Santos waliepeleka Notingham forest Kwa mkopo ni uharibifu wa kipaji ,yule dogo tungempeleka hata kwa asenyetoz angepata uzoefu na kukichafua
Ni aibu talent kama ile haipati Chance ya kucheza hata muda kidogo
 
Stats za Uefa kwenye goals sisi ndio tumekimbiza

Kwenye ligi stats za magoli tupo vizuri, alafu ukija defensively ndio wamoto zaidi

Binafsi naona kiungo tunahitaji zaidi na partey asiuzwe hii January.
Hakuna timu itatamani ikutane na arsenal
Binafsi mimi bado sijapenda ufungaji wetu. Naamini kuwa kama tunataka kuwa top top top side, tunatakiwa kufunga timu nyingi zaidi kwa zaidi ya magoli 3. Yaani 3-0, 4-1, 5-0 nk, ili nione kama tunamchapa mtu haswa.

Hizi 2-1, 3-2, 1-0 zinanionesha kuwa hatufungi vya kutosha na pia tunafungwa kuliko kiasi ninachopenda hata kama siyo kama timu zingine.

Kitu kingine kwenye stats ambacho binafsi sipendi ni scoreline kubwa kwenye mechi moja inayokuja kutumika kufukia makosa mengine. Mfano Lens tumempiga 6-0 lakini alitupiga 2-1. Aggregate 8-1. Mimi hapo kwa Aggregate hiyo ningependa kuipata kwa kushinda 4-1 na 4-0. Nachosema ni kushinda kwa magoli mengi mechi moja haileti picha halisi ya timu. Mfano mzuri ni ukiangalia Newcastle GD yao. Halafu ukiangalia na 3-0, 4-1 walizopigwa na Everton na Tottenham na sare walizotoa, 5-1 na 4-0 walizopiga akina crystal palace, unaona GD ingecheza kwenye 7-9 au hata chini zaidi kuendana na midtable teams zingine kama Brighton (mwenye 5).

Lakini unakuja kuona ile 8-0 waliyompiga Sheffield inawafanya waonekane kama wako vizuri kwa kufunga, hence pia ni timu kali. Njoo kwenye actual points, Newcastle mwenye GD ya 12 ana 26 points, chini ya Manyumbu wenye GD ya -3 na 27 points.

Nachosema ni sometimes tuangalie consistency ya wins na consinstently large win margins kuliko kuwa general sana. Angalia GD yetu premier league halafu angalia na ya Liverkuku na Mamacita, halafu kumbuka hapo kuna mtu tulimpiga 5-0. Hii inatuambia nini?
 
Umeona Ile siku city vs Villa, Haaland alivyokua anazurura
Sometimes timu kumtegemea CF Kama inakua rahisi sana ku-be marked kuliko kukiwa na goals distribution kwa attackers wote
Tena sometimes hujui Nani atakufunga, au Nani umkabe zaidi

Naomba martinel, saka na Jesus waongeze strikes
Warudishe ule Moto wa last season
 
Yes. Sikuicheki hiyo game ila kweli forwards na mid yetu inapaswa kuzidisha magoli. Ode, Rice, Kai nao washoot zaidi.
 
Hao wakipewa assurance ya supply ya mipiri muda wote, mbona nyavu zitacheka sana

Moja Kati ya Ubora wa timu ni ball recovery, tunahitaji mid ambayo mpira ukipotea Basi chap iwe recovered
 
False hopers mmeanza kidomo domo tena sio ?
Ngoja mmbamizwe hiyo mechi inayokuja ,
Yaani asenyetoz mnachekesha sana
Mkila kisago mnapotea humu kabisa
False hopers FC
Yaani umeshasahau ya Everton wiki ilopita tyri umekuja kutujazia nzi hmu🤠🤠...kwli binaadamu tunaumbiwa kusahau....mnahangaika sana na hili neno false hopers....sasa mnataka tuhuzunike wakati tupo nafasi ya 2...hebu tupumzisheni ndugu zetu😀😀😀
 
Lower your expectations and you will thank me later.
false hopers hawa waache waendelee hivihivi kuishi kwa matumaini ili mwisho wa msimu tuwasimange na kuwacheka vizuri kama tulivofanya msimu ulioisha.
Msimu ujao kuna watu wataibiwa simu humu na watabadilisha tena Id zao kama ilivyokuwa msimu uliopita
 
Yaani umeshasahau ya Everton wiki ilopita tyri umekuja kutujazia nzi hmu...kwli binaadamu tunaumbiwa kusahau....mnahangaika sana na hili neno false hopers....sasa mnataka tuhuzunike wakati tupo nafasi ya 2...hebu tupumzisheni ndugu zetu
 
false hopers hawa waache waendelee hivihivi kuishi kwa matumaini ili mwisho wa msimu tuwasimange na kuwacheka vizuri kama tulivofanya msimu ulioisha.
Msimu ujao kuna watu wataibiwa simu humu na watabadilisha tena Id zao kama ilivyokuwa msimu uliopita
Unamaanisha nini sasa? Kwamba baada ya Aaron na Hamis kutakuwa na ID nyingine next season?
 
Back
Top Bottom