Grupu jepesi Sana lile , PSG,AC MILAN wapo hoi bin taaban, BVB kule Bundesliga wanajipigia tu
Halafu mtu anakwambia eti kundi la kifo

UCL timu nyingi zimebaki majina
Naungana na
zege la nyasi ,Mikel aongeze beki wa Kati mwenye uwezo wakucheza pemben na kiungo mmoja anayeweza kucheza LCM na DM, mrefu pande la mtu
UCL Kama nilivyosema ,timu nyingi Ni dhaifu
Sarri kocha wa Lazio kasema yeye anataka mterezo na kaomba mapema apewe Barcelona

Lazio manager Maurizio Sarri:
“I’d like to face Barcelona at UCL round of 16, honestly”.
Ninachoomba Mancity wanitolee ,Hawa wengine watanieleza vzr
Why mancity ,sipend kucheza na timu inayotaka na yenyewe imiliki mpira ,mechi mbili za mwaka huu zote zimeenda Kama 50/50
Lakini Hawa wengine watake wasitake watapakishwa basi kilazima
TUKUTANE WEMBLEY MWEZI MAY
View attachment 2842380