Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Finally na vianza kufunguka sana ndio muda wa kuvifunga la 2
Yule mzee wa Brighton alokuwa anatufanyia Fujo mchana hmu ndani...sijui anaitwa Forgotten sijui nn....aje Sasa atuambie kimetokea nn🤠🤠🤠...ngumi ndoige na ngumi mchongoko mbili tu....watu Chali 🤠🤠🤠Jamani kai kapata goli.
He has arrived
Tangu apate 'confidence' yupo na utulivu mkubwa sanaJamani kai kapata goli.
He has arrived
Tukipata forward ambaye Hana mambo mengi aisee tutakuwa very lethal...ile mipira ya Martinelli pale mbele ilikuwa inapotea tu...kwa Haaland zile zte goliArsenal out of possession structure is elite. The best in Europe. Compact as hell. Reminds me of my peak Barcelona side
kwani ndo mara ya kwanza? mwana anaimprove day after dayJamani kai kapata goli.
He has arrived
Toka mechi na Newcastlekwani ndo mara ya kwanza? mwana anaimprove day after day
Thousand of chances squandered. Golikipa wao kawabeba sana
iwe hivyo.maana kuna wana walikuwa wanam`beza sanaToka mechi na Newcastle
Na amini atafunga G/A15 michuano yote