Mdogo mdogo mtaelewa tu. tuliyo pitia apo nyuma kipindi Cha miaka Kama 10 +Rejected player kama jesus, odegard,zin na wengne weng apo, ni ngumu kuwapa EPL
Na kocha hamna, arteta ni average coach km potter, Rodgers, de zerb na wengine hawez kuwapa EPL
Huu ukweli mtachukua miaka mingne mitano kuujua.
Saiv anayo mitano hapo klabuni, bado mingine 5 mkiwa endless hope fc bila kikombe kikubwa
Rejea Howe wa Newcastle United hao wote ni average kwa ubingwa wa EPL au makombe makubwa
Mkuu kwa ushahidi huo wa screen shots sina ujanja wa kubishana na wewe, ndiyo maana unatusimanga kutwa kucha.
Ila mwaka huu lazima tubebe hivyo Vikombe maana mbabe wetu City ameshatema Bungo na kutukabidhi mbizo za Ubingwa Arsenal

mkuu tuombe uzima tu, ikifika April nitakua nakutag uwe unasoma comments za ndugu zako humu.Sawa mkuuHapa duniani timu ninayoipenda kuliko zote ni Arsenal FC ikifuatiwa na Simba SC na national teams za Tanzania na France.
Lakini niseme wazi kwamba kwa jinsi Arsenal inavyocheza mpira slow basi hatutakuja kamwe kubeba makombe makubwa.
Aina ya mpira wetu ungeweza kuwa hatari sana kama tungecheza kwa kasi. Kucheza taratibu hivi kunataka uwepo wa wachezaji exceptional ili kuweza kubeba makombe.
Barcelona iliweza kubeba makombe kwasababu walikuwa na Messi, Xavi na Iniesta, pia Puyol, Alves, Bosquet, Pique, Villa etc. Mara kadhaa walicheza kwa kasi na kupiga counter lakini mostly walitegemea hao wachezaji hatari.
Sasa hapa kwetu Arsenal kuna wachezaji sita ambao angalau wana winning mentality ni Rice, Saliba, Martinelli, Trossard, Partey na Saka. Na hawa wote ukiondoa Saliba na Rice ni normal players, sio exceptional.
Wachezaji ambao nawaona ni squad players na watakupa output ya kueleweka mostly kwenye mechi ndogo ni Odegaard, Magalhaes, White, Zinchenko, Tomiyasu na Gabriel Jesus. Nawapa muda Kiwior na Raya.
Wachezaji mizigo ni Elneny, Nelson, Havertz, Vieira, Nketiah, Rowe, Ramsdale na Soares. Hawa waondolewe haraka maana hawana faida yoyote. Akina Lokonga na Marquinhos waliopo mkopo wasirudi.
Kwahiyo katika hali hii nategemea Arsenal tutatolewa UCL kwenye robo fainali na tutaingia top 4 ya EPL kwa tabu sana. Tutatolewa FA siku chache zijazo.
Mwezi huu wa December tunaweza kupata point chache sana maana tumeshapoteza kwa aston villa na hapo bado broghton, liverpool, westham na fulham.
January apatikane beki wa kati, winga wa kulia na mshambuliaji hatari ili angalau kuokoa jahazi lisizame kuanzia February 2024.
Arteta na Edu waache kuleta wachezaji laini na waache huu mpira slow slow.

Naona umefufua makaburi mkuu.we jidanganye tu kwa kusikiliza false hopes za Masingeli halafu mwisho wa msimu uje kuporomosha matusi humu kama wenzako hawa hapa
Mimi hua na screenshots halafu nawahifadhia kumbukumbu zenu maana nawajua vizuri arsenyau nyinyi huwa mnasahau haraka sana. View attachment 2844385View attachment 2844387View attachment 2844388View attachment 2844389View attachment 2844391View attachment 2844392View attachment 2844393
Hakika Execute umeongea ukweli mchungu, kuna mashabiki humu wakiongozwa na masingeli hua hawataki kusikia kabisa haya uliyo yaongea, tegemea kushambuliwa humu kwa kusema tu ukweli.Hapa duniani timu ninayoipenda kuliko zote ni Arsenal FC ikifuatiwa na Simba SC na national teams za Tanzania na France.
Lakini niseme wazi kwamba kwa jinsi Arsenal inavyocheza mpira slow basi hatutakuja kamwe kubeba makombe makubwa.
Aina ya mpira wetu ungeweza kuwa hatari sana kama tungecheza kwa kasi. Kucheza taratibu hivi kunataka uwepo wa wachezaji exceptional ili kuweza kubeba makombe.
Barcelona iliweza kubeba makombe kwasababu walikuwa na Messi, Xavi na Iniesta, pia Puyol, Alves, Bosquet, Pique, Villa etc. Mara kadhaa walicheza kwa kasi na kupiga counter lakini mostly walitegemea hao wachezaji hatari.
Sasa hapa kwetu Arsenal kuna wachezaji sita ambao angalau wana winning mentality ni Rice, Saliba, Martinelli, Trossard, Partey na Saka. Na hawa wote ukiondoa Saliba na Rice ni normal players, sio exceptional.
Wachezaji ambao nawaona ni squad players na watakupa output ya kueleweka mostly kwenye mechi ndogo ni Odegaard, Magalhaes, White, Zinchenko, Tomiyasu na Gabriel Jesus. Nawapa muda Kiwior na Raya.
Wachezaji mizigo ni Elneny, Nelson, Havertz, Vieira, Nketiah, Rowe, Ramsdale na Soares. Hawa waondolewe haraka maana hawana faida yoyote. Akina Lokonga na Marquinhos waliopo mkopo wasirudi.
Kwahiyo katika hali hii nategemea Arsenal tutatolewa UCL kwenye robo fainali na tutaingia top 4 ya EPL kwa tabu sana. Tutatolewa FA siku chache zijazo.
Mwezi huu wa December tunaweza kupata point chache sana maana tumeshapoteza kwa aston villa na hapo bado broghton, liverpool, westham na fulham.
January apatikane beki wa kati, winga wa kulia na mshambuliaji hatari ili angalau kuokoa jahazi lisizame kuanzia February 2024.
Arteta na Edu waache kuleta wachezaji laini na waache huu mpira slow slow.

Kwa hiyo unataka kusema ile FA cup yetu ya msimu wa kwanza wa Arteta umeisahau?

umesahau kumtajia na mabakuli ya Emirates yaliyojazana kwenye kabati lenu.Hii vita siingizi jeshi langu😅😏Hakika Execute umeongea ukweli mchungu, kuna mashabiki humu wakiongozwa na masingeli hua hawataki kusikia kabisa haya uliyo yaongea, tegemea kushambuliwa humu kwa kusema tu ukweli.
Humu watu wanapenda kusikia false hopes za kina masingeli na kuaminishwa humu kua hakuna timu tishio duniani kwa sasa kama Arsenal na hakuna kombe rahisi kubeba kama Uefa![]()
Tena akijisahaulisha namletea tena picha yetu tukiwa thmeshida UEFA Cup Winners Cupumesahau kumtajia na mabakuli ya Emirates yaliyojazana kwenye kabati lenu.
Problem is Arsenal kumfunga Brighton katika ground yao(hapo Emirates)imekuwa ni big challenge sijajua kwa nini but ushindi ni lazima kwa leoLeo tujikaze tushinde aisee tukacapitalize hangover ya city
tuforce tu kama city anavyoforce baadhi ya gameProblem is Arsenal kumfunga Brighton katika ground yao(hapo Emirates)imekuwa ni big challenge sijajua kwa nini but ushindi ni lazima kwa leo
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app