Haya mmeshaanza kuota angalia usiyamwage kitandani, hivi mnafikiri Arteta anao uwezo wa kuwafikisha popote?Ila Arsenal tukiwa serious fainali hii hapo.
Haya mmeshaanza kuota angalia usiyamwage kitandani, hivi mnafikiri Arteta anao uwezo wa kuwafikisha popote?Ila Arsenal tukiwa serious fainali hii hapo.
Logically hii inamaanisha ni kweli kuna makosaBREAKING NEWS
Arteta ameshinda kesi vs FA kuhusu ile mechi ya Newcastle
Mikel Arteta no charge for comments made after Newcastle game
Yah wamekubali na ushahidi katoa Joe willock aliyepiga mpira ,kasema kweli ulitokaLogically hii inamaanisha ni kweli kuna makosa
Wewe Migos , Timu yako ipo nafasi ya 12 ,soon wanaipeleka nafasi ya 17Haya mmeshaanza kuota angalia usiyamwage kitandani, hivi mnafikiri Arteta anao uwezo wa kuwafikisha popote?
Wiki hii wanacheza na nani Hawa🤓🤓🤓...tutabiri tena matokeo yaoWewe Migos , Timu yako ipo nafasi ya 12 ,soon wanaipeleka nafasi ya 17
Nachelea kusema Chelsea imesharudi ilipotoka
Wakati nakua ,Chelsea ilikuwa inashika nafasi za 7-17
Ndio nafasi inazoshika Sasa,
Naweza kusema mmeshakuwa kama Northgham forest
Dah kweli once a gunner . . .Yah wamekubali na ushahidi katoa Joe willock aliyepiga mpira ,kasema kweli ulitoka
Pia Arsenal ilipeleka mwanasheria ,
Kuna mawili au matatu yanaweza kutokea...kama wanamtaka kwli maana yake watamnunua Raya January Ili wampate Toney kwa mkopo....au labda kuna CF mwingine watamchukua then waachane na Toney....au nnavyowajua Arsenal wanaweza kuachana naye January wakatafuta kiungo halafu dirisha kubwa la usajili wakamrudia kutokana na kiwango atakachokionesha atakavyorudiIvan Toney:
Football.london wanasema sheria zinatubana kumpata kwa mkopo january kwa sababu hairuhusiwi kwa timu moja kuchukua zaidi ya mchezaji mmoja kutoka timu moja.
Tayari tuna David Raya kutoka Brentford.
Kama tunamtaka Toney January:
1. Tunamnunua mazima na siyo kwa mkopo.
2. Tunatumia mapema ile 'option to buy' ya Raya na kumnunua mazima. Hivyo tunakuwa na mchezaji mmoja tu kwa mkopo kutoka Brentford.
Arsenal mkimpata Toney nitaanza kuwachukulia serious sasa.Ivan Toney:
Football.london wanasema sheria zinatubana kumpata kwa mkopo january kwa sababu hairuhusiwi kwa timu moja kuchukua zaidi ya mchezaji mmoja kutoka timu moja.
Tayari tuna David Raya kutoka Brentford.
Kama tunamtaka Toney January:
1. Tunamnunua mazima na siyo kwa mkopo.
2. Tunatumia mapema ile 'option to buy' ya Raya na kumnunua mazima. Hivyo tunakuwa na mchezaji mmoja tu kwa mkopo kutoka Brentford.
Very trueEliminating Manchester Utd and Newcastle Utd in the UCL group stage will allow Arsenal to gain additional prize money from the market pool.
The further the Gunners go in the competition, the more they will earn. ManCity's potential knockout stage defeat will be an added bonus.
Inaweza kua kama ishu Caicedo tusimrudie tena dirisha kubwa, maana Arteta hasomeki uyoKuna mawili au matatu yanaweza kutokea...kama wanamtaka kwli maana yake watamnunua Raya January Ili wampate Toney kwa mkopo....au labda kuna CF mwingine watamchukua then waachane na Toney....au nnavyowajua Arsenal wanaweza kuachana naye January wakatafuta kiungo halafu dirisha kubwa la usajili wakamrudia kutokana na kiwango atakachokionesha atakavyorudi
Wazo la Caicedo futa kabisaInaweza kua kama ishu Caicedo tusimrudie tena dirisha kubwa, maana Arteta hasomeki uyo
Caicedo ishu yake ni klabu yake ndo ilikuwa tatizo ila yy alikuwa tyri... Brighton huwa ni wahuni sana kwny kufanya biasharaInaweza kua kama ishu Caicedo tusimrudie tena dirisha kubwa, maana Arteta hasomeki uyo
Brighton ni kryptonite yetu. Tuna kazi ngumu sana jumapili. Hawa jamaa sijui uongozi wetu huwa wanawabetia watufunge wapige hela ama nini ila hatuelewi kwa nini hatuwafungi hawa sana.Jumapili inaweza kuwa mbaya sana kwenu Arsenyani.
View attachment 2843400