Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 37,920
- 75,773
Hii takwimu sijui kama imebadilika ila Arsenal ndiyo timu inayoongoza kwa magoli ya kona ila defense yetu against set pieces iko questionable mno kwa sasaZote hizo tunatakiwa kuboresha. Najiuliza solidity kwenye set pieces imeenda wapi? Kuna game tungeshinda, kama Fulham 2-2, kama tungejilinda vizuri kwenye kona. Luton alipata magoli mawili ya kona. Tulishinda game 3-4 ila tungewapiga hata 1-3 au 1-4, tungekuwa na GD sawa na kina Liverkuku. Tusingepigwa goli la mchongo Mijusi, tungekuwa tunaongoza GD....
Anyway, wanasemaga "Hindsight is 20/20" ila tunapaswa kuimarika kila idara. Magoli ya kufungwa lazima yapungue, ya kufunga lazima yaongezeke.
Copenhagen
PSG
RB Leipzig
Inter Milan
FC Porto
.
Arsenal
Real Madrid
PSV