Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,236
- 3,675
Kipa wa Arsenal, Raya amesababisha magoli mawili, sawasawa na mchezaji mzoefu kuliko wote nyukesto Trippier.
Beki mzoefu mwenye assists nyingi kuliko mchezaji yoyote wa arsenal pia hilo mbona huliweki.
Anyway hivi pale st james mlishinda ngap?

mnajificha kwenye mgongo wa Tottenham naona ila mnasahau ubabe tuliowaonyesha pale st james.Naona unakesha ili PSG ashinde maana aki draw tu tupo 16 mpaka quater final huko or hata tukienda europa tutabeba so sisi lolote sawa tu .
Maana 16 bora ndo hatua yenu kubwa zaidi UEFA mlichojitahidi tu ni kumaliza nafasi ya kwanza makundi baada ya miaka zaidi ya 15


