Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Niliamuambia kipindi kile nafasi walioipata ya kucheza UEFA msimu huu hawatakaa waipate tena mpk baada ya miaka 20🤠🤠🤠...Sasa ntakuwa namkumbusha Kila msimu kudadeki....Hivi kwli kabisa Gordon na Almiron wakupeleke hatua ya 16 Bora kwli,???....Zile zilikuwa dharau🤨🤨
Wakipigwa hatokei siku tatu au nne. Akija haongelei kupigwa kwao anakuja kuanzisha ubishi Gordon ni hatari kuliko Saka
 
Goals scored in the Champions League group stage 23/24

Man City - 18
Arsenal - 16
Man Utd - 12
Newcastle - 6

Goals conceded in the Champions League group stage 23/24

Arsenal - 4
Newcastle - 7
Man City - 7
Man United - 15
20231214_080859.jpg
 
Niliamuambia kipindi kile nafasi walioipata ya kucheza UEFA msimu huu hawatakaa waipate tena mpk baada ya miaka 20...Sasa ntakuwa namkumbusha Kila msimu kudadeki....Hivi kwli kabisa Gordon na Almiron wakupeleke hatua ya 16 Bora kwli,???....Zile zilikuwa dharau
Group aliokuwepo Newcastle ilikuwa ngumu kutoboa hilo ilikuwa lipo wazi kabisa kutabiri na ukizingatia ndo msimu wake wa kwanza kucheza ulaya
 
Group aliokuwepo Newcastle ilikuwa ngumu kutoboa hilo ilikuwa lipo wazi kabisa kutabiri na ukizingatia ndo msimu wake wa kwanza kucheza ulaya
Kwanini Sasa walikuwa na mdomo na kelele Kama group Lao Lilikuwa gumu

Hilo group halikuwa gumu ,majina ndio yaliwatisha

PSG ,AC Milan wapo kawaida ,BVB hata kule Germany ana struggle na ndiye katop Group

Newcastle uwezo wao mdogo
 
Anyway, Labyrinth 84 nilikuambia uanzishe uzi ili tujue tunakupata wapi ukagoma.

Uache kuishi kama Yahaya we mwanapropaganda.
Uzi wao huu hapa

BAD NEWS

Joshua Mollel, a 21-year-old Tanzanian student, was abducted by Hamas terrorists in Nir-Oz on October 7th.

His family has been informed that he was killed by Hamas during his captivity. Joshua, an Arsenal fan, will be remembered, and may his memory be honored.View attachment 2841855
RIP Joshua gunner.
 
Hizi ndio timu zilizofuzu hatua ya 16 bora kwenye michuano ya klabu bingwa Ulaya 2023/24.

Walioongoza Makundi
Bayern
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Arsenal
Real Madrid
Real Sociedad
Atlético
Dortmund
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man City
Barcelona

Waliomaliza nafasi ya pili katika Makundi
Copenhagen
PSV
Napoli
Inter
Lazio
PSG
RB Leipzig
Porto

Walioburuza Mkia

1.Manjesta
2.Nyukasto
Wametutia aibu.
 
Group aliokuwepo Newcastle ilikuwa ngumu kutoboa hilo ilikuwa lipo wazi kabisa kutabiri na ukizingatia ndo msimu wake wa kwanza kucheza ulaya
Lile group nakuhakikishia tungekuwepo sisi ambao wangetusumbua kidogo ni Dortmund....yaani tungemaliza na point 13+ safi kabisa....hakuna ambaye angekuja Emirates akapata hata sare...lakini hii mitutusa Nyukesto imedundwa mechi 2 palepale Nyumbani kwao....wanachojua wao ni kufanya vurugu tu uwanjani sio kucheza mpira....Sasa kwa style hyo huwezi kufanikiwa
 
Walivyoshirikiana na PGMOL na FA kutudhulumu kwenye ile mechi yetu dhidi yao ndiyo chanzo cha adhabu hii. Karma bado inawatafuna. Game ya PSG walijikuta na penati ambayo haikua penati dakika za mwisho kabisa za muda wa nyongeza wakatoa sare. Hata jana walistahili kushinda, Milan alikuwa mbovu sana, ila Milan alishinda. Saa sijui kama karma imewatosha au itaendelea kuwatafuna.
 
Hatua ya mtoano michuano ya ulaya arteta akileta ujuaji kati ya hao waliomaliza wa pili watamng'oa kizembe tu 😆😆😆

Januar anahitaji kuongezà watu 2-3
Beki mmoja,kiungo mmoja na mshambuliaji.
 
Iwe ni Karma au isiwe Karma....watu ambao tuna jicho la mpira tumeshaona tangu msimu unaanza Hawa vijana hawana mpira wa kutosha....mwaka jana walipata hyo top 4 kwa sababu kuna timu zilikuwa taabani sana ila vngnevyo wasingepata kitu....Sasa hiki kinachotokea ni uhalisia wa uwezo wao kama timu....nilishawaambia wanahitaji kama misimu 3 wajitafute ndo waanze kuja kutujazia nzi hmu
 
Hatua ya mtoano michuano ya ulaya arteta akileta ujuaji kati ya hao waliomaliza wa pili watamng'oa kizembe tu 😆😆😆

Januar anahitaji kuongezà watu 2-3
Beki mmoja,kiungo mmoja na mshambuliaji.
Beki wa upande gani?
 
Beki wa upande gani?
We need another centre half....msaidizi wa Saliba...inabidi tumlinde kwa nguvu zte...timu inaanza kucheza vzuri tokea nyuma kwa sababu yake...hvyo inabidi atafutwe msaidizi wa kumpunguzia idadi ya mechi kadri msimu unqvyosogea mbele....tunahitaji DM kuja kusaidiana na Rice hyu naye ni muhimu sana kama tunataka kombe msimu huu...akipata majeraha itakuwa shida... Lastly tunahitaji goal pocher...Jesus anajua kukusanya Kijiji ila kuweka kambani wakati mwingine anatuangusha...tukipata hao watatu kama unabeti Kila mechi weka Win...ukiliwa nitafute mm ntakurudishia hela yako🤠🤠🤠
 
Tuna mabeki watano wa kati, na watatu kati yao wanaweza cheza full back. Timber anarejea pia,
 
Tuna mabeki watano wa kati, na watatu kati yao wanaweza cheza full back. Timber anarejea pia,
Mkuu mi huwa napenda ku allocate resources pale zinapofanyia kazi vzuri...najua tuna Blanco... Tomiyasu...Saliba.. Gabriel...Kiwior na Timber...Hawa wte wanacheza Center half na sasahv pia Rice mara moja moja anaweza kupiga beki wa kati...ila White na Tomiyasu mm nataka tuwaoane kama ni full backs....tunahitaji Kila nafasi uwanjani tuwe na watu wawili wa maana Ili hata mtu asipokuwepo timu isi drop na ndo maana SAliba anahitaji msaidizi... Malgalhaes mbadala wake ni Kiwior....Timber awe mbadala wake ni Zinchenko...tukifanya hvyo maana yake tyri tutakuwa na watu wawili wazuri Kila eneo kule nyuma....then Rice apate mtu mwingine wa kazi chafu wa kupokezana naye pale kati...Partey haaminiki tena....Jesus apate mtu mkatili pale mbele...hii itampq pia Saka nafasi ya kupumzikq na nafasi yake kucheza Jesus maana anaweza kukava vzuri...Martinelli na Trossard ama Nelson... Odegaard na Smith Rowe... Havertz na Smith Rowe tena au Vieira au Trossard.....yaani unakuwa na vikosi viwili strong....sijui nimeeleweka🤠🤠🤠
 
Back
Top Bottom