Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We need another centre half....msaidizi wa Saliba...inabidi tumlinde kwa nguvu zte...timu inaanza kucheza vzuri tokea nyuma kwa sababu yake...hvyo inabidi atafutwe msaidizi wa kumpunguzia idadi ya mechi kadri msimu unqvyosogea mbele....tunahitaji DM kuja kusaidiana na Rice hyu naye ni muhimu sana kama tunataka kombe msimu huu...akipata majeraha itakuwa shida... Lastly tunahitaji goal pocher...Jesus anajua kukusanya Kijiji ila kuweka kambani wakati mwingine anatuangusha...tukipata hao watatu kama unabeti Kila mechi weka Win...ukiliwa nitafute mm ntakurudishia hela yako🤠🤠🤠
Tuna mabeki watano wa kati, na watatu kati yao wanaweza cheza full back. Timber anarejea pia,
 
Tuna mabeki watano wa kati, na watatu kati yao wanaweza cheza full back. Timber anarejea pia,
Mkuu mi huwa napenda ku allocate resources pale zinapofanyia kazi vzuri...najua tuna Blanco... Tomiyasu...Saliba.. Gabriel...Kiwior na Timber...Hawa wte wanacheza Center half na sasahv pia Rice mara moja moja anaweza kupiga beki wa kati...ila White na Tomiyasu mm nataka tuwaoane kama ni full backs....tunahitaji Kila nafasi uwanjani tuwe na watu wawili wa maana Ili hata mtu asipokuwepo timu isi drop na ndo maana SAliba anahitaji msaidizi... Malgalhaes mbadala wake ni Kiwior....Timber awe mbadala wake ni Zinchenko...tukifanya hvyo maana yake tyri tutakuwa na watu wawili wazuri Kila eneo kule nyuma....then Rice apate mtu mwingine wa kazi chafu wa kupokezana naye pale kati...Partey haaminiki tena....Jesus apate mtu mkatili pale mbele...hii itampq pia Saka nafasi ya kupumzikq na nafasi yake kucheza Jesus maana anaweza kukava vzuri...Martinelli na Trossard ama Nelson... Odegaard na Smith Rowe... Havertz na Smith Rowe tena au Vieira au Trossard.....yaani unakuwa na vikosi viwili strong....sijui nimeeleweka🤠🤠🤠
 
Lile group nakuhakikishia tungekuwepo sisi ambao wangetusumbua kidogo ni Dortmund....yaani tungemaliza na point 13+ safi kabisa....hakuna ambaye angekuja Emirates akapata hata sare...lakini hii mitutusa Nyukesto imedundwa mechi 2 palepale Nyumbani kwao....wanachojua wao ni kufanya vurugu tu uwanjani sio kucheza mpira....Sasa kwa style hyo huwezi kufanikiwa
Grupu jepesi Sana lile , PSG,AC MILAN wapo hoi bin taaban, BVB kule Bundesliga wanajipigia tu

Halafu mtu anakwambia eti kundi la kifo

UCL timu nyingi zimebaki majina

Naungana na zege la nyasi ,Mikel aongeze beki wa Kati mwenye uwezo wakucheza pemben na kiungo mmoja anayeweza kucheza LCM na DM, mrefu pande la mtu

UCL Kama nilivyosema ,timu nyingi Ni dhaifu

Sarri kocha wa Lazio kasema yeye anataka mterezo na kaomba mapema apewe Barcelona

Lazio manager Maurizio Sarri:

“I’d like to face Barcelona at UCL round of 16, honestly”.

Ninachoomba Mancity wanitolee ,Hawa wengine watanieleza vzr

Why mancity ,sipend kucheza na timu inayotaka na yenyewe imiliki mpira ,mechi mbili za mwaka huu zote zimeenda Kama 50/50

Lakini Hawa wengine watake wasitake watapakishwa basi kilazima

TUKUTANE WEMBLEY MWEZI MAY

20231017_145956.jpg
 
Goals scored in the Champions League group stage 23/24

Man City - 18
Arsenal - 16
Man Utd - 12
Newcastle - 6

Goals conceded in the Champions League group stage 23/24

Arsenal - 4
Newcastle - 7
Man City - 7
Man United - 15View attachment 2842015

Ukitazama hapo unaona Arsenal ina superior goal difference (12) kuzidi team zote kwenye hatua ya makundi kwa msimu wa 2023/2024.

Pamoja na kutokuwa na natural striker tumefunga magoli 16, magoli mawili pungufu kwa City mwenye goal 18. Tumeruhusu magoli 4 tu katika mechi 6 huku mawili yakitokea against Lens kwenye mechi moja.

Pamoja na injuries za defence unit (Partey na Jurrien) bado team inaonesha kuwa na good balance when it comes to attacking and defence.
 
Iwe ni Karma au isiwe Karma....watu ambao tuna jicho la mpira tumeshaona tangu msimu unaanza Hawa vijana hawana mpira wa kutosha....mwaka jana walipata hyo top 4 kwa sababu kuna timu zilikuwa taabani sana ila vngnevyo wasingepata kitu....Sasa hiki kinachotokea ni uhalisia wa uwezo wao kama timu....nilishawaambia wanahitaji kama misimu 3 wajitafute ndo waanze kuja kutujazia nzi hmu

Nadhani uko sahihi. Kinachotokea pale ni coincidence kati ya ‘mlipuko’ wa fedha za tajiri mpya na kuyumba kwa viwango vya team kama Chelsea na Liverpool last season.

Eddie Howe bado hana experience ya kutosha kusumbua Uefa, lakini hata wachezaji walionao wengi hawana experience kwenye Uefa.

Wakimaintain misimu kadhaa huku wakiendelea kujiimarisha kwa kuwa na structure na philosophy ya club wanaweza kuanza kuingia kwenye ‘elite clubs’ ila so far, binafsi nawaona kama ‘wapita njia’ ndio maana hata huwa siwajadili, wakionesha seriousness over time, then we can talk. Don’t feel embarrassed @Nyukasto, chance for discussion is open.
 
Mkuu mi huwa napenda ku allocate resources pale zinapofanyia kazi vzuri...najua tuna Blanco... Tomiyasu...Saliba.. Gabriel...Kiwior na Timber...Hawa wte wanacheza Center half na sasahv pia Rice mara moja moja anaweza kupiga beki wa kati...ila White na Tomiyasu mm nataka tuwaoane kama ni full backs....tunahitaji Kila nafasi uwanjani tuwe na watu wawili wa maana Ili hata mtu asipokuwepo timu isi drop na ndo maana SAliba anahitaji msaidizi... Malgalhaes mbadala wake ni Kiwior....Timber awe mbadala wake ni Zinchenko...tukifanya hvyo maana yake tyri tutakuwa na watu wawili wazuri Kila eneo kule nyuma....then Rice apate mtu mwingine wa kazi chafu wa kupokezana naye pale kati...Partey haaminiki tena....Jesus apate mtu mkatili pale mbele...hii itampq pia Saka nafasi ya kupumzikq na nafasi yake kucheza Jesus maana anaweza kukava vzuri...Martinelli na Trossard ama Nelson... Odegaard na Smith Rowe... Havertz na Smith Rowe tena au Vieira au Trossard.....yaani unakuwa na vikosi viwili strong....sijui nimeeleweka

Sawa Mkuu, umeeleweka.

Ila upande wa Martinelli pamoja na kuwa na wachezaji wengi i.e Trossard, ESR, Reiss, Jesus pia anacheza kule.

Lakini kwa maoni yangu hatuna perfect sub ya Martinelli ule upande, yule dogo anakupa energy level ya juu sana na ndio maana asipokuwepo Zinny anastruggle na ikibidi Arteta hampangi kabisa.

Martinelli ana mchango mkubwa sana kwenye kukaba tukiloose possession, na speed yake ni key kwetu kuzuia counter. Ukimchek several times anatuokoa na counter attack sana.

Martinelli game tunazopigwa sana counter ule upande utaona hamalizi game atatolewa sababu anakuwa exhausted kwa kuzuia counter na bado adrive ule upande.

Hawa wengine wote wanafaa tukiwa na mpira, na bado miongoni mwao hakuna mwenye kumatch pace ya Martinelli hata mmoja with and without the ball.
 
Nadhani uko sahihi. Kinachotokea pale ni coincidence kati ya ‘mlipuko’ wa fedha za tajiri mpya na kuyumba kwa viwango vya team kama Chelsea na Liverpool last season.

Eddie Howe bado hana experience ya kutosha kusumbua Uefa, lakini hata wachezaji walionao wengi hawana experience kwenye Uefa.

Wakimaintain misimu kadhaa huku wakiendelea kujiimarisha kwa kuwa na structure na philosophy ya club wanaweza kuanza kuingia kwenye ‘elite clubs’ ila so far, binafsi nawaona kama ‘wapita njia’ ndio maana hata huwa siwajadili, wakionesha seriousness over time, then we can talk. Don’t feel embarrassed @Nyukasto, chance for discussion is open.
Nyukasto hawez kupata nafas ya UCL tena kwasasa ,anamtoa Nani pale top 4

Kwasasa wapambanie kucheza Europa conference league
 
Grupu jepesi Sana lile , PSG,AC MILAN wapo hoi bin taaban, BVB kule Bundesliga wanajipigia tu

Halafu mtu anakwambia eti kundi la kifo

UCL timu nyingi zimebaki majina

Naungana na zege la nyasi ,Mikel aongeze beki wa Kati mwenye uwezo wakucheza pemben na kiungo mmoja anayeweza kucheza LCM na DM, mrefu pande la mtu

UCL Kama nilivyosema ,timu nyingi Ni dhaifu

Sarri kocha wa Lazio kasema yeye anataka mterezo na kaomba mapema apewe Barcelona

Lazio manager Maurizio Sarri:

“I’d like to face Barcelona at UCL round of 16, honestly”.

Ninachoomba Mancity wanitolee ,Hawa wengine watanieleza vzr

Why mancity ,sipend kucheza na timu inayotaka na yenyewe imiliki mpira ,mechi mbili za mwaka huu zote zimeenda Kama 50/50

Lakini Hawa wengine watake wasitake watapakishwa basi kilazima

TUKUTANE WEMBLEY MWEZI MAY

View attachment 2842380
Sarri muhuni sana
GBTfMOhW0AAEApQ.jpg
 
Binafsi naamini huyu shabiki wa Newcastle ndio yule computerarsenal, na huyu inaonekana ni shabiki wa Man united, anachofanya ni kuvuruga hali ya hewa humu kwani inamfanya ajisikie raha, ndio maana anatafuta kila namna ya kuikosoa arsenal, hii inamfanya ajisikie vizuri sababu kuukubali ukweli arsenal inafanya vizuri ni maumivu makali kwa shabiki yoyote wa manunu.

Huyu alishasema Leicester city na Brendan Rodgers ni bora kuliko Arsenal na Arteta, kuna kipindi kachafua sana server humu kwa hoja za Conte na Spurs dhidi yetu, leo jahazi limezama anatafuta unafuu kupitia Newcastle na Eddie howe kesho ataleta hoja za Aston villa na Unai, kesho kutwa tujiandae kwa fujo za RDZ na brighton yote ni kutafuta unafuu.
Conclusion
Huyu Jamaa apuuzwe, ni mpumbafu.
 
🤣🤣🤣....Computerarsenal unamuonea tu...yule huwa ana criticize lakini kwny uhalisia huwa anakubali....ila hyu wa Nyukesto yy huwa anaandaa mafaili yake ya kujipooza na stats kibao ilhali Kila anacholeta hmu ni pumba tu akisaidiwa na Security guard Flano🤠🤠🤠..yule muangalieni tu na tutaenda naye hvyohvyo
 
Hizi ndio timu zilizofuzu hatua ya 16 bora kwenye michuano ya klabu bingwa Ulaya 2023/24.

Walioongoza Makundi
Bayern
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Arsenal
Real Madrid
Real Sociedad
Atlético
Dortmund
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man City
Barcelona

Waliomaliza nafasi ya pili katika Makundi
Copenhagen
PSV
Napoli
Inter
Lazio
PSG
RB Leipzig
Porto

Walioburuza Mkia

1.Manjesta
2.Nyukasto
Tukicheza kwa nidhamu na kuheshimu wapinzani wetu basi semi final hii hapa, afu huko lolote litokee tu. Wababe wakusumbuana nasi ni watatu, Man City, Bayern & Madrid.
 
Binafsi naamini huyu shabiki wa Newcastle ndio yule computerarsenal, na huyu inaonekana ni shabiki wa Man united, anachofanya ni kuvuruga hali ya hewa humu kwani inamfanya ajisikie raha, ndio maana anatafuta kila namna ya kuikosoa arsenal, hii inamfanya ajisikie vizuri sababu kuukubali ukweli arsenal inafanya vizuri ni maumivu makali kwa shabiki yoyote wa manunu.

Huyu alishasema Leicester city na Brendan Rodgers ni bora kuliko Arsenal na Arteta, kuna kipindi kachafua sana server humu kwa hoja za Conte na Spurs dhidi yetu, leo jahazi limezama anatafuta unafuu kupitia Newcastle na Eddie howe kesho ataleta hoja za Aston villa na Unai, kesho kutwa tujiandae kwa fujo za RDZ na brighton yote ni kutafuta unafuu.
Conclusion
Huyu Jamaa apuuzwe, ni mpumbafu.
Nakubaliana na wewe ,ila sio Computer arsenal

Huyu anadai alikimbilia Newcastle sababu alidai msimu wataongoza ligi

Ni mdogo kiumri ana akili za kitoto ,niliwahi jadiliana nae Sana ,nilipogundua Ni mtoto nikamkataa mazima

Akili yake ilikuwa inamtuma sababu Newcastle imenunuliwa na waarabu Basi itakuwa Kama Mancity ,asijue mpira haupo hivo

Cha ajabu Sasa Newcastle hiyo kwasasa haiwezi kunusa hata top 6 ,aliongea Sana na kuponda Arsenal kuwa tunaenda UCL kushiriki tu ,tulipopigwa na Lens ndipo akazidi zaidi,

Nilisema Newcastle Ni timu ya Vibe tu na fujo tu ,

Sasa hivi anaona aibu akija humu atasubiri sapoti ya watafuta furaha kina flano na yule Mkohoti

20231214_012847.jpg
 
🤣🤣🤣....Computerarsenal unamuonea tu...yule huwa ana criticize lakini kwny uhalisia huwa anakubali....ila hyu wa Nyukesto yy huwa anaandaa mafaili yake ya kujipooza na stats kibao ilhali Kila anacholeta hmu ni pumba tu akisaidiwa na Security guard Flano🤠🤠🤠..yule muangalieni tu na tutaenda naye hvyohvyo
Huwa sisomi anachoandika huyu jamaa wa Newcastle, ila kwa kuwa ni kinganganizi kuandika humu that's why namuona kama computer and i entirely believe ni computer na inawezakuwa ni flano au yule mwenzie wa unyumbuni lkn all in all ni shabiki la manunu
 
Tukicheza kwa nidhamu na kuheshimu wapinzani wetu basi semi final hii hapa, afu huko lolote litokee tu. Wababe wakusumbuana nasi ni watatu, Man City, Bayern & Madrid.
Yah uzuri kuzuia tunaweza na kufunga tunaweza,Hakuna goli la ugenini,

Kila mechi ya kwanza tupige intensity ya juu tutafute mtaji wa goli 2+

Mechi ya 2 kufunga duka
 
Huwa sisomi anachoandika huyu jamaa wa Newcastle, ila kwa kuwa ni kinganganizi kuandika humu that's why namuona kama computer and i entirely believe ni computer na inawezakuwa ni flano au yule mwenzie wa unyumbuni lkn all in all ni shabiki la manunu
Kwasasa Kama wameshikwa Ganzi

Alikuwepo yule wa Chelsea ,Mkohoti ,timu yake inagombea kushuka daraja

Flano ,timu yake inasubiri miujiza

Huyu wa Nyukasto yeye alikuwa anaamini wataongoza ligi na kufuzu 16round

Na walikuwa wanasapotiana na kufanya kejeli

Kwasasa kila mtu kashika njia yake ,

20231214_124655.jpg
 
Nakubaliana na wewe ,ila sio Computer arsenal

Huyu anadai alikimbilia Newcastle sababu alidai msimu wataongoza ligi

Ni mdogo kiumri ana akili za kitoto ,niliwahi jadiliana nae Sana ,nilipogundua Ni mtoto nikamkataa mazima

Akili yake ilikuwa inamtuma sababu Newcastle imenunuliwa na waarabu Basi itakuwa Kama Mancity ,asijue mpira haupo hivo

Cha ajabu Sasa Newcastle hiyo kwasasa haiwezi kunusa hata top 6 ,aliongea Sana na kuponda Arsenal kuwa tunaenda UCL kushiriki tu ,tulipopigwa na Lens ndipo akazidi zaidi,

Nilisema Newcastle Ni timu ya Vibe tu na fujo tu ,

Sasa hivi anaona aibu akija humu atasubiri sapoti ya watafuta furaha kina flano na yule Mkohoti

View attachment 2842440
Hii picha sio kwamba Bruno anasononeka kutokufika final ila anawaza ni lini atapata nafasi ya kucheza michuano km hii tena. Anafika mbali na kufikiria kwanini hakusajiliwa na timu kama Arsenal ili apate fursa ya uhakika kucheza Uefa na kulichukua kombe pia😁
 
Yah uzuri kuzuia tunaweza na kufunga tunaweza,Hakuna goli la ugenini,

Kila mechi ya kwanza tupige intensity ya juu tutafute mtaji wa goli 2+

Mechi ya 2 kufunga duka
Madrid wenye individual brilliance, bayern & city, naamini tukishikilia bomba na defense ya timber, tomi, saliba, gabriel, partey & rice tutatoa upinzani mkali sana. Kama tutafika final tutegemee kuona final moja kali mno ambayo haijaokea hivi karibuni
 
Kwanini Sasa walikuwa na mdomo na kelele Kama group Lao Lilikuwa gumu

Hilo group halikuwa gumu ,majina ndio yaliwatisha

PSG ,AC Milan wapo kawaida ,BVB hata kule Germany ana struggle na ndiye katop Group

Newcastle uwezo wao mdogo
Ww jamaa mda mwengine unajitoa akili hilo ndo lilikuwa group la kifo halafu ww unasema halikuwa jepesi
Ac Milan bingwa mara 7
Dortmund ana misimu karibu 6 anafika hatua ya 16 na ashafika hadi final
Psg kila mwaka yupo Uefa na alishacheza hadi final
Newcastle ndio timu pekee kibonde kwenye hilo group ulitemegea angefika wapi
 
Hizo historia ,hazichezi ,ingekuwa hivo Barcelona last season asingeenda Europa ,msimu huu wenyewe ilibaki kidogo wampeleke Europa

Hilo kundi unalosema Gumu ,AC Milan kaenda Europa ,BVB ndiye kavuka

Hilo kundi Newcastle alikuwa kilaza tu ,

Timu ilijizatiti haishindw kupita hilo kundi,

Huu ujinga wakucheza na historia ndio umemponza manjesta wamemshikisha mkia kund Lina Copenhagen na Galatasaray ambayo imeokota wachezaji reject

PSG hata kwenye Ligi yake wanamkimbiza Sana, BVB Hana makali hayo ,BVB alichofanya kwenye Hilo kundi kamtumia Newcastle Kama ngazi kakomba points 6 ,kaokoteza na kwa wengine akafuzu mapema , ila sio kwamba BVB Ni Bora Sana

PSG , AC MILAN,Barcelona zimebaki majina tu

Maurizio Sarri kasema anaomba apewe Barcelona awahi robo fainal, wewe unatuambia habari za historia
 
Back
Top Bottom