Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,327
- 3,968
Naanza kuamini inawezekana sisi ni False hoper kwa kweli
Tuna mistake zinazojirudia season to season match to match
How come we fail to score today
Sawa kabisaLiverpool hawez kupigania ubingwa ,sijui kwanini watu hamfanyi analysis vzr
Jamaa wanakiungo Cha kawaida Sana, ila Wana attacking nzuri
Wanaruhusu Sana kushambuliwa
Allison yupo kwenye list na kina onana,Makipa wa Luton, Sheffield, Burney kwa kuokoa michomo mingi
Salah kwasasa amekuwa Kama Cr7 anakaa maeneo hatari tu kufunga na kutoa pass Hana Tena ile pace ,kwasasa Salah watu hawanzingatii Tena kumuwekea ulinzi ,na huyo ndio roho ya Liverpool,anafata Allison .
ParteyHili tunakuambia kila siku kwani before lineup hukulijua hili ama? Sasa hapo hamna hata majeruhi ushaanza kupiga kelele ukipata majeruhi zaidi ya 12 si ndo false hopes zitakuwa mlima.
Haya tuambie hapo mchezaji gani ambaye yupo injury anaweza akakaaa benchi akashtua watu[emoji23][emoji23]
Mmetukosa kwenye ubingwa mnatutafuta kwenye vitu haviingii akilini😂😂Hawa jamaa wana muda sana hawajua shuka safi (clean sheet) ni kitu gani, lakini ukiwakuta wanavyopiga soga humu kama prime barca vile.
cc
HENRY14 Castr computerarsenal hamis77
Kabisa.Leo hata tungecheza dakika 200 tusingepata goli..
SegemuKabisa.
Segemu ambazo zingezalisha magoli zote tmwatu walifanya kinachotakiwa ila bahati haikua upande wetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii fixtures yenu ya December imekaa utamu sana, hapa mpaka January inaingia hili jukwaa litakua limejaa matusi.Kafungwa city sembuse sisi.
Kuna mashabiki wa arsenal wanaamini mambo ya ajabu sana ukibisha wanakuona hater.
Piga spana baharia[emoji23][emoji23][emoji23] ushawahii kuuza mchezaji kwa hata 60M tu toka arsenal imeanzishwa? Mlipigwa kwa pepe kwa 72M then mnamuuza kwa 1.5 m . Unajipa false hopes eti saka ni 120M
Gordon kauzwa kutoka everton 45 M sasa unategemea tukiuza tutauza hela ya chini kama nyinyi ?
Hio 45M hakuna mchezaji ameshawahi kuuzwa hela kubwa arsenal kuzidi hela aliyeuzwa gordon kutoka everton nakupa hiii nyingine pia najua ulikua hujuii wacha nikujuze sasa.
Unaposema unauza kwa bei kubwa tuambie toka arsenal imeanzishwa nan aliuzwa kwenda timu nyingine hela iliyozidi 45M , ukionyesha nakupa milion 1 sasa hivi hapa.
Tuliambia ramsdale ana thamani ya shingapi vile? [emoji23][emoji23] kina holding, pepe, takuma, wachezaji wa paundi moja moja.
nahofia tunaenda kumpoteza Hamis[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii fixtures yenu ya December imekaa utamu sana, hapa mpaka January inaingia hili jukwaa litakua limejaa matusi. View attachment 2838118
Umempa sumu mgonjwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii fixtures yenu ya December imekaa utamu sana, hapa mpaka January inaingia hili jukwaa litakua limejaa matusi. View attachment 2838118
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kabisa hapa ndugu yangu Hamisi anaenda kujipiga ban mwenyewe.nahofia tunaenda kumpoteza Hamis
SawaKuelekea mechi na Astonvilla
Astonvilla hataweza kubishana na Arsenal kwenye umiliki wa mpira
Wanajaza viungo wengi kuwin 50/50 na kufanya transition
Wanacheza 4-4-2 isiyo na mawinga asilia ,wanamtumia MaGinn na Zaniolo au Tielemans Kama mawinga ,Kati Yupo kamara na Luiz ,so Wana viungo wanne ,
Tunaendaje na tutarajie Nini ?
Tunahitaji viungo wakufika Sana na kupora mipira iwe ya chini au hewani,
Kai- Rice -odegaard na Jesus tunawahitaji kuanza sababu wanaweza purukushani,
MARTINELL na Saka wataleta shida hivo lazima MacGinn na Tielemans watakuwa wanarudi nyuma kusaidia kuwakaba
Hapo Sasa ndipo tutahitaji huduma ya Ødegaard ambaye anatokea chini kusambaza mipira mingi kwenye half space
Kai ,Jesus na Rice kazi Yao kuwin 50/50 na kusonga mbele
Tutaokota point 6 hapo za uhakika halafu nyingine nne za bahati ila tano lazima zipotee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii fixtures yenu ya December imekaa utamu sana, hapa mpaka January inaingia hili jukwaa litakua limejaa matusi. View attachment 2838118
KwishaaaaaaaaUzuri wa Asenane ikianza kupokea vipigo ni mwendo wa vipondo mfululizo
Next
Brighton
Liverpool
Haihusiani na mechi ni mimi tu sijui kusoma na kuandikaSegemu
tmwatu😀
Kweli Leo siku ndefu😂
Hahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Antisemitism au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] False hoper hao, kuna kasisi wao humu alikua anawaaminisha kua hakuna kombe rahisi kubeba kama Uefa, ukimuuliza kama kweli ni rahisi kubeba mpaka sasa hivi Arsenyau ina makombe mangapi ya Uefa?
Anakupiga marufuku kumquote halafu wewe uliuliza swali anakuita ni Anti-Semitism.