Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Iko hivi

Wachezaji na kocha wa sasa wa nyukesto wameifikisha kuweza kuifanya hadi mashabiki waache timu zao na kuifuata.

Sasa hivi wanahitaji wachezaji na kocha wa kuhakikisha hawa mashabiki wapya hawaondoki.

Nilivyomwambia hivi Labyrinth 84 akahisi namdhihaki hajui kwamba huo ndiyo mchakato unavyotakiwa kua. Howe na wale waliopo watakaza miguu kwa Arsenal first leg kisha atafungwa na Bournemouth na Everton, kisha second leg Arsenal atajipigia inakua ni mambo ya mid table team
Mueleweshe taratibutaratibu ataelewa🤠🤠
 
COYG
Screenshot_20231209-193204_Facebook.jpg
 
Leo ni piga nikupige ila Mcginn 😆😆😆
Klinishit naona kama haipo leo
Hii mechi arteta kazi anayo,unai mzee kujilipua sio mzuri kwenye kuzuia ila kwenye kushambulia ndio kuna gudi ebiningiii 😆😆😆
 
leo makosa yoyote yatatutesa sana
upande wa zincheko na wasiwasi nao sana
Today this is our big test for title claiming
 
leo makosa yoyote yatatutesa sana
upande wa zincheko na wasiwasi nao sana
Today this is our big test for title claiming
Subirini mkung'utwe kama ndugu zenu nyumbu ,mna kidomo domo sana nyingi mabingwa Fake ,
Mamaee mmeshanyukwa huko na Mcginn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom