Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

My worry ni kwamba Arteta anaweza kuanzisha timu B to spare the first 11 players for weekend game.
Shida ni kuchelewesha sub bila ulazima, mfano tumeshashinda why Saka aendelee kucheza baada ya dakika 70? Rotation ni muhimu sana yasijemkuta ya Gavi au Pedri
 
My worry ni kwamba Arteta anaweza kuanzisha timu B to spare the first 11 players for weekend game.
Vyovyote atakavyo amua, ashinde tu. Analysis ya Arsenal.com inasema hatujawafunga hawa Luton kwa katika mechi 10 tulizofika pale. Of course hiyo ni zamani mno, last time tumekutana nao ni 1980s huko. Wengine huku walikuwa hata bado hawajazaliwa. Ila cha muhimu zaidi ni Luton walianza vibaya msimu ila wamekuwa wakiimarika game hadi game. Waliwasumbua Liverpool sana tu na wangewalaza wale kuku na viatu isingekuwa late equaliser. Mimi ninachotaka ni ushindi tu.
 
My worry ni kwamba Arteta anaweza kuanzisha timu B to spare the first 11 players for weekend game.

Kwa kweli hapaswi kutoipa hii mechi umuhimu, kama tunautaka ubingwa yafaa kila mechi ipewe umuhimu ule ule. Rotation? Of course ni muhimu, lakini si weak lineup.

Hizi mechi kama unataka kufanya rotation nadhani ni vema ikaanza strong lineup then tukipata margin kubwa ya magoli mapema ndipo unapumzisha key players.

Sikufurahishwa na last match vs Wolves, tumepata magoli mawili mapema lakini tunashindwa kuongeza margin mwisho tunamaliza game kwa pressure 2-1 na hii imejirudia several times.

Hizi ni mechi tunapaswa kuzitumia kuongeza GD, kuepuka injury na kutengeneza ‘fear factor’ kwa kupata comfortable win mapema ili kuondoa pressure ya game kwa mwalimu na wachezaji.
 
Kuna hii "artetaliban" amei-troduce hamis77
Mashambulizi ya milipuko Kama tupo Gaza

Hii itawaumiza Sana nyumbu, Kenge, punda, shit

HENRY14 zitto junior gspain verifaidi yuza Castr
Flano ARV Kakumamoto Intelligent businessman
Montserrat MalcolM XII arsenal2004 DullyJr
makaveli10 Ulimakafu martyr101 computerarsenal
The gaffer
20231205_131104.jpg
 
Kwa kweli hapaswi kutoipa hii mechi umuhimu, kama tunautaka ubingwa yafaa kila mechi ipewe umuhimu ule ule. Rotation? Of course ni muhimu, lakini si weak lineup.

Hizi mechi kama unataka kufanya rotation nadhani ni vema ikaanza strong lineup then tukipata margin kubwa ya magoli mapema ndipo unapumzisha key players.

Sikufurahishwa na last match vs Wolves, tumepata magoli mawili mapema lakini tunashindwa kuongeza margin mwisho tunamaliza game kwa pressure 2-1 na hii imejirudia several times.

Hizi ni mechi tunapaswa kuzitumia kuongeza GD, kuepuka injury na kutengeneza ‘fear factor’ kwa kupata comfortable win mapema ili kuondoa pressure ya game kwa mwalimu na wachezaji.
Mimi naona game Kama hizi nelson aanze, namaanisha saka or martinel mmoja apumzike

Kiwior nae aanze

Position zingine zibaki vile vile

Kama tunapata Ushindi, nketiah nae aingie mapema tu
 
Niliona jana kwny press yake Arteta...bora apumzike...ile mechi ya Villa ule upande wa Zinchenko kuna yule Diaby na sub yake nayo ni winger msumbufu....hyo mechi atafaa Tomiyasu
Game ya Villa tunaanza na Zinny tunamaliza na Tommy hakuna mabadiliko
 
Mimi naona game Kama hizi nelson aanze, namaanisha saka or martinel mmoja apumzike

Kiwior nae aanze

Position zingine zibaki vile vile

Kama tunapata Ushindi, nketiah nae aingie mapema tu
Hapo ndipo pep anampiga gape kubwa sana Arteta, kuna game Grealish aanzia mkeka na Anamuamini Doku tena game nyingi tu ila Arteta bado sana kwenye ayo maamuzi
 
Mwendo ni ule ule kurusha jezi juu atakae wahi ndo anaanza kwenye kosi la leo dakika 60 tu tunaua game, alafu zinafanyika sub na tunapiga pasi pasi pasi hatukimbizani iyo kwa ajiri ya game ijayo na Villa.
 
Naona kama hili suala litakuwa gumu msimu huu. Natamani iwe hivyo ila vile vidroo na kina Tottenham, Fulham, chelkenge...kama tukiendelea kupoteza points kizembe kama tulivyozoea, itakuwa ngumu kufikia hilo lengo.
Inawezekana tusifikie lengo, ila tukiwa na uhakika wa point 90 tunabeba ligi
 
Back
Top Bottom