Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

The traditional top 6 against each other so far:

ARSENAL
Arsenal 3-1 Man U
Arsenal 1-0 Man City
Arsenal 2-2 Spurs
Chelsea 2-2 Arsenal
Total points = 8 from possible 12

LIVERPOOL
Chelsea 2-2 Liverpool
Spurs 2-1 Liverpool
Man city 1-1 Liverpool
Total points= 2 from possible 9

MAN CITY
Man U 0-3 Man City
Arsenal 1-0 Man city
Chelsea 4-4 Man City
Man City 1-1 Liverpool
Man City 3-3 Spurs
Total points= 6 from possible 15

SPURS
Spurs 2-0 Man U
Spurs 2-1 Liverpool
Arsenal 2-2 Spurs
Spurs 1-4 Chelsea
Man City 3-3 Spurs
Total points= 8 from possible 15

CHELSEA
Chelsea 2-2 Liverpool
Chelsea 2-2 Arsenal
Spurs 1-4 Chelsea
Chelsea 4-4 Man City
Total points= 6 from possible 12

MAN U
Spurs 2-0 Man U
Arsenal 3-1 Man U
Man U 0-3 Man City
Total points= 0 from possible 9

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Ambangile anasema anaomba tusimpate Palhinha

Anasema wakikaa na Rice pale ,itakuwa Hali ngumu ku penetrate

Ongezea na Kai futi 6+ ,Rice , Palhinha ,Saliba ,Big Gab , Tomiyasu

Wapinzani kila kher
Inamaana wakina Edu washaongea na dogo sio🤠🤠🤠...akija yy maana yake yy anakaa dimba la chini na Rice anakaa kama LCM ama....maana kwa stats za Palhinha anaonekana ni pure DM yy anajua kuzuia zaidi kuliko kugawa Mali kwa ufanisi
 
Inamaana wakina Edu washaongea na dogo sio...akija yy maana yake yy anakaa dimba la chini na Rice anakaa kama LCM ama....maana kwa stats za Palhinha anaonekana ni pure DM yy anajua kuzuia zaidi kuliko kugawa Mali kwa ufanisi
Yupo kwa List

verifaidi yuza alileta habari humu ambayo Ni reliable kabisa ,Inaonesha Douglas Luiz labda Hadi summer

But Kwasasa Bayern Kama wamejitoa hivi kumtaka ,

Wachambuzi wanasema itakuwa hatari Sana kama Arsenal watampata huyo jamaa

Huyo Ni Pure DM,

hatahusika kwenye maswala ya kupokea mpira kwa back 4, hiyo kazi wanaifanya Zinchenko anaye invert, au Rice au Ødegaard,yeye kazi yake kupora mipira na kazi chafu ,Mali anamkabidhi Øde,rice

Mpira umehamia kwenye duels na kuwin 50/50

Kuna watu mpaka Leo hawajui kwanini tulimsajili Kai havertz na Rice ,Ni baada ya Arsenal kusumbuliwa na Everton ,type ya timu hizo, au mancity timu ambazo zinahitaji ushinde mipira ya juu ,uwin duels zote

Pep ,baada ya mechi 2 zote vs Arsenal,alisema, Ni ngumu kukabiliana na mipira mifupi na mirefu ya Raya ambaye huwa anaitarget kwa Kai

Mechi ya pale Emirates, Kai ndiye aliwaua city ,Inapigwa long balls ,akiwa katikati ya mabeki wa city ,anapokea mpira hewan anauweka chini anampa MARTINELL ,Kamba

Unapoenda UCL , una Rice LCM , Palhinha DM Ødegaard RCM

Kai CF , ukuta ule wa Arsenal wote wale 6ft+

Tomiyasu Big Gab Saliba White

Palhina Rice Kai

Kama tutampata huyo jamaa

Kila la kheri wapinzani,
 
Douglas Luiz yule Emery hawezi kutuuzia...na akituuzia atataka kukomoa maana hawana presha ya kuuza...tuangalie kwngine
 
Tomiyasu's calf discomfort; no rips or more damage.
Most likely won't take a chance tonight as we have the trip to Villa Park in three days.

[@MoArsenal86]
 
Yupo kwa List

verifaidi yuza alileta habari humu ambayo Ni reliable kabisa ,Inaonesha Douglas Luiz labda Hadi summer

But Kwasasa Bayern Kama wamejitoa hivi kumtaka ,

Wachambuzi wanasema itakuwa hatari Sana kama Arsenal watampata huyo jamaa

Huyo Ni Pure DM,

hatahusika kwenye maswala ya kupokea mpira kwa back 4, hiyo kazi wanaifanya Zinchenko anaye invert, au Rice au Ødegaard,yeye kazi yake kupora mipira na kazi chafu ,Mali anamkabidhi Øde,rice

Mpira umehamia kwenye duels na kuwin 50/50

Kuna watu mpaka Leo hawajui kwanini tulimsajili Kai havertz na Rice ,Ni baada ya Arsenal kusumbuliwa na Everton ,type ya timu hizo, au mancity timu ambazo zinahitaji ushinde mipira ya juu ,uwin duels zote

Pep ,baada ya mechi 2 zote vs Arsenal,alisema, Ni ngumu kukabiliana na mipira mifupi na mirefu ya Raya ambaye huwa anaitarget kwa Kai

Mechi ya pale Emirates, Kai ndiye aliwaua city ,Inapigwa long balls ,akiwa katikati ya mabeki wa city ,anapokea mpira hewan anauweka chini anampa MARTINELL ,Kamba

Unapoenda UCL , una Rice LCM , Palhinha DM Ødegaard RCM

Kai CF , ukuta ule wa Arsenal wote wale 6ft+

Tomiyasu Big Gab Saliba White

Palhina Rice Kai

Kama tutampata huyo jamaa

Kila la kheri wapinzani,
Kwa nilivyomuangalia mimi, namuona ni zaidi ya DM. Naweza kudiriki kusema ni kama Rice mwingine au hata Kai kidogo maana jamaa anapanda na moves na kuingia kwenye box kabisa. Siyo mtu wa kukaa tu nyuma na kupora mipira. Pia anapiga long balls na through balls zikamaliziwe huko mbele so siyo kama atakuwa anarecycle tu possession. Huenda anaonekana kama anakaba sana kwa sababu Fulham wanashambuliwa kuliko sisi au kina Liverpool lakini ana strengths zingine pia. Kwa hivyo huenda hata akawa anabadilishana na Rice kukaa nyuma. Au Partey akiwepo na Rice hayupo, mmoja wao anakuwa kama advanced MF. Kama anapatikana, aje tu.
 
Tomiyasu's calf discomfort; no rips or more damage.
Most likely won't take a chance tonight as we have the trip to Villa Park in three days.

[@MoArsenal86]
Niliona jana kwny press yake Arteta...bora apumzike...ile mechi ya Villa ule upande wa Zinchenko kuna yule Diaby na sub yake nayo ni winger msumbufu....hyo mechi atafaa Tomiyasu
 
Ambangile anasema anaomba tusimpate Palhinha

Anasema wakikaa na Rice pale ,itakuwa Hali ngumu ku penetrate

Ongezea na Kai futi 6+ ,Rice , Palhinha ,Saliba ,Big Gab , Tomiyasu

Wapinzani kila kheri
Hapo Timber hajarudi, kuna watu hawataingiza timu uwanjani
 
Back
Top Bottom