Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ambangile anasema anaomba tusimpate Palhinha

Anasema wakikaa na Rice pale ,itakuwa Hali ngumu ku penetrate

Ongezea na Kai futi 6+ ,Rice , Palhinha ,Saliba ,Big Gab , Tomiyasu

Wapinzani kila kheri
Jana usiku nimemuangalia
Mida hii mchana, nikiwa nasubiri lunch nimezirudia nilizo ziangalia Jana

Palinha ni kisanga

Bermuda defence block
 
Son kile chuma hakuna timu ingesimama maan tisa yeyote NI kujiposition na Yule anajua

Son is my favourite, namkubali sana. Huyu mtu anahitaji half a chance to score, ni vile tu sio muingereza. Tuliwahi kupigiwa kelele na media kuhusu Delle Alli utadhani ni generational talent.

Son angekuwa ni muingereza ingekuwa ni illegal kupublish news kwenye media bila kumtaja, msimu uliopita ‘Rashid Makame’ akiwa ‘one season wonder’ kidogo wampe PFA young player of the year japo ana umri wa kustaafishwa soka.

Son Heung-min, the unsung hero!
 
Mwamba huyu hapa
IMG-20231205-WA0004.jpg
 
Yupo kwa List

verifaidi yuza alileta habari humu ambayo Ni reliable kabisa ,Inaonesha Douglas Luiz labda Hadi summer

But Kwasasa Bayern Kama wamejitoa hivi kumtaka ,

Wachambuzi wanasema itakuwa hatari Sana kama Arsenal watampata huyo jamaa

Huyo Ni Pure DM,

hatahusika kwenye maswala ya kupokea mpira kwa back 4, hiyo kazi wanaifanya Zinchenko anaye invert, au Rice au Ødegaard,yeye kazi yake kupora mipira na kazi chafu ,Mali anamkabidhi Øde,rice

Mpira umehamia kwenye duels na kuwin 50/50

Kuna watu mpaka Leo hawajui kwanini tulimsajili Kai havertz na Rice ,Ni baada ya Arsenal kusumbuliwa na Everton ,type ya timu hizo, au mancity timu ambazo zinahitaji ushinde mipira ya juu ,uwin duels zote

Pep ,baada ya mechi 2 zote vs Arsenal,alisema, Ni ngumu kukabiliana na mipira mifupi na mirefu ya Raya ambaye huwa anaitarget kwa Kai

Mechi ya pale Emirates, Kai ndiye aliwaua city ,Inapigwa long balls ,akiwa katikati ya mabeki wa city ,anapokea mpira hewan anauweka chini anampa MARTINELL ,Kamba

Unapoenda UCL , una Rice LCM , Palhinha DM Ødegaard RCM

Kai CF , ukuta ule wa Arsenal wote wale 6ft+

Tomiyasu Big Gab Saliba White

Palhina Rice Kai

Kama tutampata huyo jamaa

Kila la kheri wapinzani,
Naiona hatari inakuja January hadi may, madamu yatamwagika
 
Douglas Luiz yule Emery hawezi kutuuzia...na akituuzia atataka kukomoa maana hawana presha ya kuuza...tuangalie kwngine
Palinha kikongwe yule mnapeleka wapi ?
Chukua Doucoure WA crystal plalace ,Yuko vizuri kwenye kukaba , pure DM (Mkata umeme halisi + kazi chafu )
Halafu Rice anakuwa advanced Mildifielder
 
Son is my favourite, namkubali sana. Huyu mtu anahitaji half a chance to score, ni vile tu sio muingereza. Tuliwahi kupigiwa kelele na media kuhusu Delle Alli utadhani ni generational talent.

Son angekuwa ni muingereza ingekuwa ni illegal kupublish news kwenye media bila kumtaja, msimu uliopita ‘Rashid Makame’ akiwa ‘one season wonder’ kidogo wampe PFA young player of the year japo ana umri wa kustaafishwa soka.

Son Heung-min, the unsung hero!
Son anajua kuwatesa mancity , nahisi kila mechi na city lazima afunge
 
Son is my favourite, namkubali sana. Huyu mtu anahitaji half a chance to score, ni vile tu sio muingereza. Tuliwahi kupigiwa kelele na media kuhusu Delle Alli utadhani ni generational talent.

Son angekuwa ni muingereza ingekuwa ni illegal kupublish news kwenye media bila kumtaja, msimu uliopita ‘Rashid Makame’ akiwa ‘one season wonder’ kidogo wampe PFA young player of the year japo ana umri wa kustaafishwa soka.

Son Heung-min, the unsung hero!
Kaka nilisha sema Humu, yule mtu ni 🔥🔥🔥🔥, sijui kwanini haonekani ??
 
Natamani nimuone Trossard kwenye LCM lakini last game hakuwa na mchezo mzuri.
Hata alivyohamia LW baada ya Matinelli kutolewa. Nahisi ile game vs Wolves aliipania sana..
 
Back
Top Bottom