HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,675
- 7,132
Hawa wote wanaiona hii mechi kama interview kwa Arteta. Kila mmoja wao anataka tumuapproach January.Wanacheza tough Sana
Wanaingia Sana
Kama wametumwa hivi na vigogo ili watupunguze kasi
Hawa wote wanaiona hii mechi kama interview kwa Arteta. Kila mmoja wao anataka tumuapproach January.Wanacheza tough Sana
Wanaingia Sana
Kama wametumwa hivi na vigogo ili watupunguze kasi
Arteta aingie vizuri kipindi Cha piliLuton hawajakaa kinyonge kabisa. Wanapress. Wanadouble up na kutriple up on Saka, Ode, Martinelli na hata Havertz na Jesus. Hawatupi nafasi ya kucheza boli letu tunavyotaka. Wasipokata moto tutaenda nao bega kwa bega. Tuombe tu sisi tusikate moto kwanza
Wanaona shavu hili hapa[emoji1][emoji1]Hawa wote wanaiona hii mechi kama interview kwa Arteta. Kila mmoja wao anataka tumuapproach January.
Ni noma yaniMadogo wamekamia mechi
Sahihi kabisa mkuuWanaona shavu hili hapa[emoji1][emoji1]
Leo anachoma sana...tupo slow sana leoRaya leo ni kopo, namuona Ramsdale kafurahiiiii