Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Benny Blanco White bado ana nafasi vizuri tu...mm nnayeona ana mashaka na nafasi yake pale ni Zinchenko....maana Tomiyasu atakuwa anawekwa ule upande wa kushoto lakini pia Blanco anaweza kugawana mechi na Saliba...a perfect set up....tutakuwa na mabeki wa uhakika kwa miaka kadhaa na bwana mdgo Timber akirudi....bdo tunahitaji kiungo wa kuchukua nafasi ya Partey na forward mkatili...baada ya hapo hatusajili tena miaka 5🤠🤠🤠...ni kurusha tu jezi na atakayeidaka ndo hyohyo anaanza
Ni kweli, akirudi Timber, tutahitaji mrithi wa Partey na straika moja ya mabao kama Osimhen.. Baada ya hapo timu zitakua zinagoma kuingiza wachezaji uwanjani.
 
Benny Blanco White bado ana nafasi vizuri tu...mm nnayeona ana mashaka na nafasi yake pale ni Zinchenko....maana Tomiyasu atakuwa anawekwa ule upande wa kushoto lakini pia Blanco anaweza kugawana mechi na Saliba...a perfect set up....tutakuwa na mabeki wa uhakika kwa miaka kadhaa na bwana mdgo Timber akirudi....bdo tunahitaji kiungo wa kuchukua nafasi ya Partey na forward mkatili...baada ya hapo hatusajili tena miaka 5...ni kurusha tu jezi na atakayeidaka ndo hyohyo anaanza
Hii ya kurusha jez nyumbu na Kenge hawapendi kusikia ata kidogo
Unajua huu wivu bhn, sijui unakuja na Nini yaani
 
Daah yan tunai solve vipi mzee maana kila baada ya mda naitajika ku update email, kila ivyo naishia kungalia tu maoni ya watu sichangii chochote , comment zinagoma kabisa, naambiwa change email nikichange naambiwa ina Account tayari
 
@mkorea
 
Login kutumia browser
Kwenye my account
Screenshot_20231201-212909.jpg
 
Against Lens Arteta kwa mara ya kwanza alitumia attacking 5 ya Saka,Gabi,Kai ,Ø &Nelli

Kai-target man LHS,second balls

Jesus-akicollect second balls

Ø-akihusika zaidi na buid up

Nelli & Saka threat from wings

Huku Raya-bait the press kucheza long balls kwa Kai au Jesus
20231201_215431.jpg
20231201_215446.jpg
 
-GTA I released 1997.
-GTA II released 1999.
-GTA III released 2001.
-GTA IV released 2008.
-GTA V released 2013.
-GTA VI being released 2024.

Guess the football club that has won a total of 0 Champions League trophies during that time span.
 
Hicho kikombe cha UEFA baada ya timu yenu kuchukua ndo imekua mwisho wa dunia?

Hatujabeba sisi, mnaoumia ni nyie. Haya endeleeni kuteseka!
 
Hicho kikombe cha UEFA baada ya timu yenu kuchukua ndo imekua mwisho wa dunia?

Hatujabeba sisi, mnaoumia ni nyie. Haya endeleeni kuteseka!
Basi mkuu, nisamehe sana. Nimekosea, sitorudia tena kupost kwamba hamna UCL hata moja.

Nyinyi ndo mabingwa wa UCL na EPL 23/24.
 
Benny Blanco White bado ana nafasi vizuri tu...mm nnayeona ana mashaka na nafasi yake pale ni Zinchenko....maana Tomiyasu atakuwa anawekwa ule upande wa kushoto lakini pia Blanco anaweza kugawana mechi na Saliba...a perfect set up....tutakuwa na mabeki wa uhakika kwa miaka kadhaa na bwana mdgo Timber akirudi....bdo tunahitaji kiungo wa kuchukua nafasi ya Partey na forward mkatili...baada ya hapo hatusajili tena miaka 5🤠🤠🤠...ni kurusha tu jezi na atakayeidaka ndo hyohyo anaanza
Zinny nae kaanza kukaza makalio, ukimfatilia siku hizi ameimprove defensively
 
Msaada

Nilikua nina account ya jamii forum hapo nyuma kidogo kwenye kujisajili ni lazima kutumia email, iyo account niliiacha kutokana na sababu mbalimbali.

Now nina account hii na ndo naitumia ila nilijisajili kwa email nyingine kabisa ambayo haiko active.

naomba msaada jinsi ya kuifuta ile account ya mwanzo ili niweze kuchange Email niweze kuitumia kwenye account hii nayoitumia kwa sasa.

Najua Arsenal Fans hamuwez kuniangusha ndugu yenu, Manyumbu pia msaada wenu na Kenge Fc naitaji msaada wenu maana toka niwaombe mnionyeshe game ambayo Enzo kazishika sijawahi kuwatembelea hii account inanisumbua mara kwa mara, Liverpool pia msaada na. Watoto wa Pep msaada wenu pia na yule na wale wapiga ramli wa Nyukesto tafadhalini.

Mkuu, Jf ni user generated content forums. Ukiruhusu watu kufuta account maana yake unaweza fika mahali ukakuta forums zote hazina content sababu unapofuta account automatically unaondoa contents zote zilizowahi kuwa posted na account husika.

Ndiyo maana hata ukirudi kwenye posts zako za nyuma ukaanza tu kuzifuta just for any reason utakutana na ban toka kwa mods.

Ukisoma Jf terms and conditions kuna sehemu inasema;

“You are granting us with a non-exclusive, permanent, irrevocable, unlimited license to use, publish, or re-publish your Content in connection with the Service. You retain copyright over the Content.

We respect your right to be forgotten, but at the moment we DO NOT accept account closure or deletion requests. Think before you open an account or share content on the public domain”, mwisho wa kunukuu

Kuhusu issue ya kubadili email nadhani ni simple, log in kwenye hiyo old account kisha bonyeza avatar yako then change email. Hapa utaondoa hiyo email na kuingiza nyingine hata kama siyo email inayotumika ilimradi iwe na proper email format eg: mjusi_kafiri@gmail.com.

Kisha utafanya hivo hivo kwenye hii account yako ya Mjusi_kafiri na kuweka hiyo email unayoitaka, nadhani kiasi itakuwa imekusaidia, all the best.
 
Zinny nae kaanza kukaza makalio, ukimfatilia siku hizi ameimprove defensively
Kanajitahidi ila mechi ya West Ham kalituchomesha goli la pili...hatujasahau....akipata winger msumbufu huwa anakuwa kama fala fulani..na ndo hapo unapoona umuhimu wa tomiyasu kukaa ule upande...na Kiwior naye natamani awe anachezacheza kidogo maana anasahaulika sana bwana mdgo ingawa na yy ni chuma cha mjerumani
 
Back
Top Bottom