Hahaaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wakuwaogopa ninyi labda Luton ,Sheffield na viazi kama haoTunalitaka hilo kombe. Tanalisaka hilo kombe. Matokeo yake kila timu sasa inatuogopa. Zamani tulichukuliwa kama wasindikizaji wanaopigania nafasi za Europe tu. Sasa top teams zote kama liverkuku na mamacita hawapati uzingizi juu yetu. Timu ndogo zote kama chelkenge na manyumbu wana ndoto za kutufunga sisi tu, mengine kwao ni majaliwa.