BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,200
- 2,558
Haya mambo yapo EPL huku.Kila chama cha soka kina sheria zake za ndani.Mfano, hapo Spain points zikifungana, kinafata kuangalia tofauti ya magoli kat ya timu mbili zilizofungana points, na sio tofauti ya jumla ya magoli ya kufunga na kifungwa kama EPLHuyu yupo kwa mkopo Barca sijui kipengele gani kimefanya acheze leo