HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,593
- 6,932
Kama tunataka kumchukia Palhinha January, naona poa tu. Ni mrefu wa kusaidia kuwin aerial duels, kitu ambacho kinamuudhi sana Flano kusikia. Anakaba. Anaquality long balls. Anatengeneza nafasi za ufungaji. Anapenda kusogea karibu na box kupiga zile "Partey shots" au kuingia ndani kupiga vichwa cross na kona na muhimu zaidi ni anafunga magoli. Pia jamaa alitufunga tukapoteza points 2. Acha aje awe upande wetu kuliko akiwa mpinzani wetu.
