Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nina mashaka na zile blichi anazoweka.. wachezaji wa Chelsea wanafikirisha sana na vibuno vyao!

Na sasa hivi hao wenye vibuno wakiweka kambi hotel wanachanganywa na lile group la marasi wakiongozwa na Disasi, Oguchukwu na Chukwemeka.
Marasi wenyewe wanaijeria aka matapeli wakuu wa dunia. Utakuta wako hapo darajani wanaanda long con ya kupiga hela za Boehly na kuoa wanawake wa kizungu. Mpira kwao ni by the way tu.
 
Hiki kitu kinatushagnaza sana. Arteta tulihisi anauwezo mdogo kwa sababu ya kukosa uzoefu kama manager, hivyo tukaona tumpe muda ingawa tulipaza sana sauti afukuzwe pia. Klopp na Ten Hag walikuja na uzoefu wa kuwa mabingwa walikotoka hivyo mategemeo ya watu juu yao. Nahisi, deep down, issue ya Ten Hag siyo yeye kufanya vibaya, amefanya vizuri tu kama si sana, bali ni kuwa wengine kama Arteta wamefanya vizuri zaidi kwenye ligi. Hicho ndicho kinampa pressure kutoka kwa mashabiki ya United kwa maoni yangu.
 
Naona sasa Liverkuku wamerudi kundini umepata ujasiri ya kuja huku kwa genuine challengers
Mbona msimu uliopita nilikuwepo huku kuwasupport
Na niliwaombea sana mbebe ubingwa mtoe gundu..sikutaka kabisa wale majini washinde tena

Ndio basi tena mkalewa sifa mapema 😂
 
Ila kweli tulipata zali la mentali tukaharibu wenyewe. Sasa nafasi imepotea ama inekuwa ngumu maradufu.
Gundu FC😂😂😂😂

Mkaridhika.

Tuliwaambia kazeni miguu
Kipara akishahamia juu hatoki😂

Mkajiona tayari mabingwa🤣
 
Gundu FC😂😂😂😂

Mkaridhika.

Tuliwaambia kazeni miguu
Kipara akishahamia juu hatoki😂

Mkajiona tayari mabingwa🤣
Tunazuga kama siyo ishu ila ndani tunaumia sana. Ubingwa ulikuwa nje nje tunaouna ingawa kiuhalisia hatukutegemea kukimbiza vile. Nahisi tulikuwa Bado tunashangaa Ile situation tukaamua turudie maisha tuliyoyazoea.
 
According to Transfermarkt GmbH & Co. KG, the top 100 most valuable clubs in the world - Arsenal No2 ....

transfermarkt.co.uk/spieler-statis… #arsenal #afc
20231115_131958.jpg
 
Mkorea hebu nitajie ile version ya Jf ambayo picha zinaonekana

Nime update App kwa simu ,JF nayo imekuwa updated,sioni tena picha
 
Expectation is that Arsenal striker Gabriel Jesus won't play against Colombia (9pm kick-off on Thursday night in Brazil),

but could play a part against Argentina next week.

Huge bust for Arsenal
 
FabrizioRomano

Arsenal nimeona wakihusishwa na baadhi ya viungo wa mkopo kama Neves, ambaye amekuwa akihusishwa pia na Newcastle, lakini pia kuna historia kutoka kwa Arteta - amekuwa akimuhitaji Neves, lakini Kwasasa bado hakuna mazungumzo ."
 
Arsenal receive Martin Odegaard injury boost despite withdrawing from international duty.

Good news with Fabio Vieira suspended for the next three games.

20231114_212730.jpg
 
Back
Top Bottom