Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie kondoo nawakumbusha huu ndio muda wenu wa kufurahi, soo furahini sana ikifika mei mnatoka mikono mitupu. Msiseme sijawaambia nyie kunguni.
20230424_180858.jpg
 
Hivi arsenal Kwanini tusi tafute striker namba 9 halisi??
Ni mpango wa klabu ,summer

Lazima klabu itulie itafute mtu sahihi ,Kwasasa makanjanja wengi

Victor Osimhen mwenyewe ana record mbaya ya injury

Pia Rais wa Napoli kasema juzi ,anakaribia kusaini mkataba mpya

Hivo tuwaamini klabu itatulia itakuja na mtu sahihi ,

Nketiah soon anaondoka
 
Kama tunataka kumchukia Palhinha January, naona poa tu. Ni mrefu wa kusaidia kuwin aerial duels, kitu ambacho kinamuudhi sana Flano kusikia. Anakaba. Anaquality long balls. Anatengeneza nafasi za ufungaji. Anapenda kusogea karibu na box kupiga zile "Partey shots" au kuingia ndani kupiga vichwa cross na kona na muhimu zaidi ni anafunga magoli. Pia jamaa alitufunga tukapoteza points 2. Acha aje awe upande wetu kuliko akiwa mpinzani wetu.
Huyo jamaa ndiye anaongoza kwa tackling EPL nzima ,linapatikana kwa £38-45m

Ni mrefu

Arteta anataka kutengeneza timu iliyo stable Sana kiulinzi anataka kuishi na ile Falsafa inayosema

Attacking inashinda mechi, Defence inakupa mataji


Sasa imagine Hii BERMUDA TRIANGLE tu inatishia amani

Leo nilikuwa naangalia Stats za Save kwa makipa EPL , kwa wale makipa First eleven , Raya anashika nafasi ya mwisho mwisho kwa kukutana na save chache anazo 14 tu ,

Magoli tunayofungwa mengi Ni tunachoma wenyewe Kama la juzi vs wolves


Kimfumo Ni ngumu kupata clear chances ,

Sasa akiongezeka yule Palhina na Rice hapo unaipata Artetaliban Ball.


UCL kule ukiwa na Defense nzuri unatoboa mapema Sana,

Kwasasa Fluidity ya timu ishaanza kurudi ,
 
Mechi vs Lens na wolves kikos kilikuwa na average ya umri miaka 24

Mchezaji mkubwa kabisa alikuwa Zincheko mwenye umri wa miaka 26 Sasa

Project ilianza kwa kuzingatia umri ,Lakini tusikariri ,hatuzuiwi kuongeza wawili watatu wenye umri mkubwa hasa eneo la Midfield

Kitu kingine ,ukichukua kiungo wa hapo hapo EPL unauhakika anaingia na kuendelea kukiwasha
 
Number of yellow cards by Arsenal players in the Prem:

Havertz
Jesus, Nketiah, White
Gabriel, Jorginho, Martinelli, Saka, Saliba, Timber, Zinchenko, Odegaard
Rice, Tomiyasu

Least yellow cards overall in the Prem (18), 5 less then than any other side. [PL]


Only Kai Havertz at risk of suspension by GW20, as it stands.
 
Bayern wameanza kijiondoa kwa Palhinha


João Palhinha to FC Bayern is getting 'cold'. The club is gradually distancing itself from a potential January move for the Portuguese midfielder. The club's priority and focus at the moment is on a centre-back that can also play right-back. Within the club, there are doubts Palhinha would be an upgrade on Kimmich/Goretzka/Laimer, even for €45-50m

[@Plettigoal]
 
Palhihna Ni Casemiro profile ,sio mzuri kwenye passing Kama kina Partey,Rice ,Yeye Ni mzuri kwenye Blocking, tackling , Aerial duels

Akija huyu anakuwa anacheza juu kidogo ya Rice , kufanya kazi chafu

Kwenye Buildup Kwasasa anahusika Martin Ødegaard na Rice


Player Profile: João Palhinha
Club: Fulham
Nationality: Portugal
Value: €55M
Age: 28
Height: 6’3
Position: DM
Contract: 2028 + 1
Foot: Right
20231205_015716.jpg
 
Most tackles made in the Premier League since the start of last season:

204 - João Palhinha
203
202
201
200
199
198
197
196
195
194
193
192
191
190
189
188
187
186
185
184
183
182
181
180
179
178
177
176
175
174
173
172
171
170
169
168
167
166
165
164
163
162
161
160
159
158
157
156
155
154
153
152
151
150
149
148
147
146
145
144
143
142
141
140
139
138
137
136
135
134
133
132
131
130
129
128
127
126
125
124
123 - Idrissa Gueye
 
Huyo jamaa ndiye anaongoza kwa tackling EPL nzima ,linapatikana kwa £38-45m

Ni mrefu

Arteta anataka kutengeneza timu iliyo stable Sana kiulinzi anataka kuishi na ile Falsafa inayosema

Attacking inashinda mechi, Defence inakupa mataji


Sasa imagine Hii BERMUDA TRIANGLE tu inatishia amani

Leo nilikuwa naangalia Stats za Save kwa makipa EPL , kwa wale makipa First eleven , Raya anashika nafasi ya mwisho mwisho kwa kukutana na save chache anazo 14 tu ,

Magoli tunayofungwa mengi Ni tunachoma wenyewe Kama la juzi vs wolves


Kimfumo Ni ngumu kupata clear chances ,

Sasa akiongezeka yule Palhina na Rice hapo unaipata Artetaliban Ball.


UCL kule ukiwa na Defense nzuri unatoboa mapema Sana,

Kwasasa Fluidity ya timu ishaanza kurudi ,
Nakubaliana na wewe. Tuendelee kuimarisha ulinzi na kuifanya timu iwe ngumu kufungika. Tukiwa na Rice, Partey na Palhinha tunakuwa na options hata mmoja akikosekana hayutetereki kirahisi. Attacking side nako kuwe serious zaidi. Sawa tuligonga post na Martinelli na Nketiah lakini mimi huwa sipendi tabia ya kuongoza 2 au 3-0 half time halafu full time tunashinda hizo hizo 2-0 au 2-1, 3-2... Tunatakiwa tuanze kupiga watu 5 na zaidi mechi nyingi zaidi maana wapinzani wetu wanafanya hivyo. Mtu kama Mamacita tunamzidi points anatuzidi GD halafu mbeleni tukilingana anatupita kwa hizo GD.
 
Back
Top Bottom