Kakukomalia kakuongezaAnataka tugawane mbao huyu.
Mwaka jana nilisuluhu nae 4-4 game ya kwanza kabisa.
Kakukomalia kakuongezaAnataka tugawane mbao huyu.
Mwaka jana nilisuluhu nae 4-4 game ya kwanza kabisa.
Unaweza hisi Anfield kuna mizimu sio??Kakukomalia kakuongeza
Acha tu 😀Unaweza hisi Anfield kuna mizimu sio??
City kashikwa naomba hii run tubaki mimi na wewe.Acha tu 😀
Umri umesogea
Hata Trossard tulimbeba na umri wake, hivi gundo angekua available tungemwacha?Umri umesogea
Asingemuacha ila ilikuwa ni short term plan....hawezi kukupa miaka 3 ya huduma nzuri endelevu...tuache shortcut tutafute long term plan na umri sahihi...options zipo za kina Zubimendi na Fofana...Hata Trossard tulimbeba na umri wake, hivi gundo angekua available tungemwacha?
Mkuu fafanua kidogoPalhina miaka 28
Hana majeruhi , January anatimba
Msimu huu Nyumbu peke yao ndio hawana hasiraCity atarudi na hasira
Game 3 sasa, hajazipata hasira tu bado? Maana ni jambo la kushtua kidogo city kwenda game mbili mfululizo bila ushindi,jambo la kushangaza zaid game ya 3 leo bila ushindi hii ajabu kweli kwa cityCity atarudi na hasira
Premier league proven player. Anakuja kuongeza umafia pale kati na Rice. Ni rahisi kupatikana kuliko the likes of Zubimendi, De Jong na Luiz.Umri umesogea
Anaenda villa park bila Rodrigo.Msimu huu Nyumbu peke yao ndio hawana hasira
City aje kivyovyote, watu wamenunua
Ana game crystal palace alafu A. Villa hivi karibuni
Unai nae amejipanga sana msimu huuAnaenda villa park bila Rodrigo.