hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Zinny akomae, huyu dogo anarudi January
Ila wapinzani watateseka Sana huku tunapoelekea![]()



Zinny akomae, huyu dogo anarudi January
Ila wapinzani watateseka Sana huku tunapoelekea![]()



De zabi Leo atukatie mdomo kabisa hizi KengeYule jamaa anajiita Mkohoti ana mdomo Sana ,hivi yupo ?
Flano ndiye mbishi ,simuoni nae siku hizi


Di zerbi atusaidie tu kwakweliDe zabi Leo atukatie mdomo kabisa hizi Kenge
Huyu Flano Kuna uwezekano mkubwa ni mlinzi, utamuona jioni au usiku![]()
Tamu sana hiiLiverpool to face Arsenal in the FA Cup. The game will be played at the Emirates.


Si nilikuambia Brighton tunamkamua leo ?Di zerbi atusaidie tu kwakweli
FALSE HOPE FOOTBALL CLUBTamu sana hii
Watakufa nyingi punda wale![]()
Leo tunataka kuona uwezo wenu wa kucheza mda mrefu mkiwa pungufu😀😀...nimeona na Mitoma naye anapasha aingieGhallagher pimbi yule ,tumekula redcard kipumbavu
ikitoka pass ya V kisha ikaungwa hua ni goli tu labda izuiwe kule kabla haijafikaOrdegaardinho trademark finishView attachment 2831986View attachment 2831987View attachment 2831988View attachment 2831989
Achana na sisiGhallagher pimbi yule ,tumekula redcard kipumbavu
Kiukweli sikuepo kuanzia mechi inaanza hadi inaisha. Si unaona nimekuja siku imeisha kabisa?Ungejibu muda nimecomment ingependeza mkuu. Kuja baada ya vita ni uoga.
Anataka tugawane mbao huyu.Kiukweli sikuepo kuanzia mechi inaanza hadi inaisha. Si unaona nimekuja siku imeisha kabisa?
Naona fulham anashikilia bomba
Dah !Leo tunataka kuona uwezo wenu wa kucheza mda mrefu mkiwa pungufu...nimeona na Mitoma naye anapasha aingie
Kakukomalia kakuongezaAnataka tugawane mbao huyu.
Mwaka jana nilisuluhu nae 4-4 game ya kwanza kabisa.
Unaweza hisi Anfield kuna mizimu sio??Kakukomalia kakuongeza