Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kanacheza sasahvi kwa sababu ya role yake ya ku invert ndani ila akirudi Timber ataanza juu ya mbao hyu...mm huwa akiwa na winger machachari roho yangu inakuwa juu sana halafu goli nyingi Zina leak kupitia upande wake ule....
Uhakika hio..kikubwa point tatu leo
 
Mkuu, Jf ni user generated content forums. Ukiruhusu watu kufuta account maana yake unaweza fika mahali ukakuta forums zote hazina content sababu unapofuta account automatically unaondoa contents zote zilizowahi kuwa posted na account husika.

Ndiyo maana hata ukirudi kwenye posts zako za nyuma ukaanza tu kuzifuta just for any reason utakutana na ban toka kwa mods.

Ukisoma Jf terms and conditions kuna sehemu inasema;

“You are granting us with a non-exclusive, permanent, irrevocable, unlimited license to use, publish, or re-publish your Content in connection with the Service. You retain copyright over the Content.

We respect your right to be forgotten, but at the moment we DO NOT accept account closure or deletion requests. Think before you open an account or share content on the public domain”, mwisho wa kunukuu

Kuhusu issue ya kubadili email nadhani ni simple, log in kwenye hiyo old account kisha bonyeza avatar yako then change email. Hapa utaondoa hiyo email na kuingiza nyingine hata kama siyo email inayotumika ilimradi iwe na proper email format eg: mjusi_kafiri@gmail.com.

Kisha utafanya hivo hivo kwenye hii account yako ya Mjusi_kafiri na kuweka hiyo email unayoitaka, nadhani kiasi itakuwa imekusaidia, all the best.
Asante sana ndugu, ngoja nilifanyie kazi hili suala taratibu nikiwa nmetulia
 
Ruben Neves on Newcastle and Arsenal links: “I don't go. I'm really happy here, my family's really happy”.

“I think that's rumours because of the owner of the clubs of course, and I've played in England as well… there was Newcastle interest before I came here”, told BBC.
 
Ordegaardinho trademark finish
20231203_095841.jpg
20231203_095839.jpg
20231203_095838.jpg
20231203_095836.jpg
 
Tunaongoza ligi lakini bado hatupo kwenye kile kiwango chetu

Odegard na saka wanaanza kurudi kwenye Ile form zao

Partey bado yupo kitandani

Timber Hadi January
Ateta anabidi kusajili kiungo mwingine chuma kama rice ili ordergad akaekati atafute tisa WA kutisha apo atakuwa katibu maana pale saiv race ikihumia ,au saka NI majanga
 
Ungejibu muda nimecomment ingependeza mkuu. Kuja baada ya vita ni uoga.
Mechi zenye ugumu kwetu zinajulikana...mnapiga ramli kwny vitu ambavyo haviwezekani kabisa....timu tutakazosumbuana nazo ni 3...Liverkuku, Man City na Brighton maana Wana waalimu wazuri....haya makinda mengine ni kupita na kuokota points tu🤠🤠🤠....nashangaa sana mnavyokujaga kutujazia nzi hmu tukicheza na kina Brentford sijui kina Wolves....j4 karibuni tena tuna jambo letu na Luton Town
 
| Jurrien Timber says he hopes that he will be able to return to the pitch before the end of the season as he says he is “making good progress”.
20231203_135946.jpg
 
Back
Top Bottom