Hii comment kaitoa lini hyu bwana mkubwa....hatuchezi nao karibuni lakini mbona anatuongelea hiviPep Guardiola on Arsenal:
"David Raya has the ability to play short and long so it’s not easy to control these balls.
They’re a fantastic team and they played really well."View attachment 2831414View attachment 2831415
Mkuu jez zilirushwa, Kai amekosaje na urefu wote ule?Trossard for Kai in starting XI
Aliitoa baada ya mech yetu na waoHii comment kaitoa lini hyu bwana mkubwa....hatuchezi nao karibuni lakini mbona anatuongelea hivi
Link vipi mchambuzi nguli?Waliokuwa wanasema mbona flow ya ushambuliaji haipo
Shida ilikuwa
Ødegaard alikuwa anacheza na injuries
MARTINELL Jesus Saka walikuwa wanakutana na injuries hawaanzi kwa pamoja