hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Zinny wameimarika Sana kwenye ukabaji
Arteta kaijenga Timu kiulinzi zaidi ya mwaka Jana ,
Mancity ndani ya dakika 180 alipata On target 1 au 2
Tunaenda UCL round 16, tukikutangulia goli 1 hesabu maumivu
Hadi Sasa tumefungwa goli 3 tu away
Goli 2 vs Chelsea ikiwepo penalty na Kross ya Mudrky
Goli jingine vs Newcastle msaada wa VAR
Kwenye attacking tumepungua ukilinganisha na last season
Jumla tumefungwa goli 10 , ukichambua utakuta goli tulizofungwa kwa makosa ya system hayazidi matano.
Mabeki wote warefu ,jumlisha na Rice
Ambangile aliwahi niambia anaogopa Sana kama Partey atakuwa fiti ,ikacheza combination ya Rice Partey Ødegaard jumlisha na mabeki warefu kule nyuma .

Douglas Luiz €70m