Kinachoshtua ni kwamba kila wiki anakutana na chances kama hizi ila anarudia script ile ileHuyu ni kiazi, trust me kwenye nafasi hiyo kaka mie naweza kufanya jambo bora zaidi ya alichofanya huyu mpumbavu.
Kinachoshtua ni kwamba kila wiki anakutana na chances kama hizi ila anarudia script ile ileHuyu ni kiazi, trust me kwenye nafasi hiyo kaka mie naweza kufanya jambo bora zaidi ya alichofanya huyu mpumbavu.
mzee huyu mchezaji nadhani humuelewagiHuyu ni kiazi, trust me kwenye nafasi hiyo kaka mie naweza kufanya jambo bora zaidi ya alichofanya huyu mpumbavu.

Kaabisa kaka, simuelewi, ana mabaya mengi kuliko mazuri, ana bahati kubwa kucheza arsenal ila si mchezaji wa kiwango hicho.mzee huyu mchezaji nadhani humuelewagi![]()
Amini maneno yangu, hajui boli, huyu sio ball talent, ni shule imemfikisha pale, halafu sidhani kama ana juhudi binafsi za kusogea mbele, ndio maana kila siku anakuwa ni yule yule tu.Kinachoshtua ni kwamba kila wiki anakutana na chances kama hizi ila anarudia script ile ile
So far, no need of sub at the moment
Hadi Dakika ya 70 nyama ikiwa ngumu Kai inabidi ainuke aje kuokoa jahazi
Kenge na nyumbu ndio wanasambaza chuki kwa KaiKAI HARVETZ:
Nimewahi kuandika mara moja kuhusu huyu mtu na nikaomba apewe muda kama baadhi walivyoomba.
Huwa napenda kuheshimu professionalism na hasa professionals ambao wameprove kuhusu uwezo wao several times against all odds.
Kai pamoja na kelele zote, Arteta amekuwa akimprefer mbele ya players wengine alionao na kumpanga regularly, japo imekuwa ikisemwa kuwa anajaribu kuforce kujustify his high price tag (£65m).
Niliwahi kusema kuwa sisi kama fans tuko limited when it comes to details regarding players ndio maana sometimes selection za vikosi na preference ya nani aanze, nani akae bench na nani asiwepo hata bench inaweza kuzua taharuki kwa fans.
Kai ambaye mashabiki kadhaa wanaona hafanyi vema, anaitwa national team kila mara. Julian Nagelsman, moja ya tactician wazuri kabisa naye anaona anamhitaji Kai katika kikosi cha Germany ambacho kimesheheni wachezaji wazuri kwenye roles ambazo Kai amekuwa akipewa i.e LCM, RCM, striker na second striker.
Kama haitoshi, juzi Julian anampanga Kai kwenye new role ya LB kwenye mechi 2. Huku akifunga goal just 5mins into his new role against Turkey, Nagelsman post match comment in his second game against Austria when asked about how he feels with Kai’s perfomance in his new role said, “Probably our best player on the field tonight”. He kept on saying, Kai is so talented and versatile pointing out his new role as an evidence.
Akiwa Chelsea pamoja na kucheza chini ya makocha wanne tofauti ndani ya misimu mitatu, alibaki kuwa chaguo la kwanza kwenye kikosi kwa makocha wote. Kabla ya kuja Arsenal alikuwa Chelsea’s best player of the season.
Jana huku akitokea bench baada ya kuwa kwenye international role ambapo alicheza kama LB, he scored the only goal to give Arsenal a deserved win which we desparately needed to go on top of the premier league table following a 1-1 draw in an earlier contest between City and Liverpool.
Kwamba hawa tactician wawili (Arteta na Nagelsman) hawajui wakifanyacho kuliko some fans wanaopiga kelele kuhusu Kai?
I DON’T KNOW!!
Aaron Ramsdale

Huyu anafata soon kuuzwa ,tunahitaji kuongeza watuGabriel Jesus akiwa na mpira hapa, anaona kila kitu.
Anaona goli, anaona sehemu za kutoa pasi, anaona 1v1 ila Eddie ataona kushoot tu na chochote nje ya hapo ni kubahatisha.
4 vs 2 si inabidi liwe goli?
View attachment 2825409
Partey ni mtu Sana, sema ndio hivyo majerui ya kujirudiaPartye tumemisi Sana huduma yake pale Kati
Kuna Fluidity tunaikosa , mwamba huwa anapiga pass kila sekunde halafu zote za mbele ,
Kule mbele ukipewa mpira ukakosea utapewa Tena na Tena .
Naomba awepo fit 2nd round ,na UCL
Imagine una
RICE PARTEY ØDE
Halafu kule nyuma ana wale mamonster
Ukipigwa goli halirudi Tena
Nimemkumbuka Sana Partey ,
Ukiniuliza kiburi Cha kufika mbali UCL nakitoa wapi Ni hiyo Midfield trio plus wale mamonster kule nyuma .
Kwenye scouting Arsenal wanamuona Douglas Luiz ndiye chaguo sahihi wa kumrith Partey ,
Douglas Luiz ndiye muhimili pale Astonvilla
Arteta anamfahamu sababu wamekuwa nae mancity , ameanza kumuhitaji muda mrefu Kama ilivyokuwa kwa David Raya
Leo nimemkumbuka Sana Partey,
Mechi vs City aliingia wakacheza na Rice, Ødegaard ndani ya dakika 10 tu tuliona burudani.View attachment 2825580
Na Jana ndo ilikua mechi yake ya nane kuchezesha premier LeagueRefa wetu wa jana anaweza kuwa the best referee in the premier league; sio yule wa Newcastle vs Chelsea
So long as Raya yuko fit, hawezi pata iyo nafasiAaron Ramsdale
Confidence yake imeshuka, amekaa sana bench na pressure ni kubwa pia kwake.
Tumeona errors mbili tatu jana, ila siwezi kumlaumu sana japo anahitaji confidence ili arudi kwenye ubora wake au zaidi.
Swali ni je, atapata nafasi ya kurudisha confidence yake!?![]()