Nilikubaliana na maoni yaliyosema Arsenal msimu tutauanza January kwa sasa hivi tufocus na kuhakikisha mtu wa kwanza hatuzidi points zaidi ya 4.
Ikifika January watu wote wakirudi ndiyo tuanze msako. Arsenal inajua kuoverdeliver na kuunderdeliver. Matokeo yake January haijafika Arsenal kaoverdeliver kawa wa kwanza.
Hapo bado hiyo january haijafika. Sasa mtihani upo kwenye kumaintain