Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Rasmi David Raya Sasa ni mwanafamilia wa Arsenal,amesaini mkataba mrefu

Arsenal imewajulisha Brentford kuwa mwakani 2024 wata trigger kipengere Cha buy option Cha €30m(£27m)

Brentford walikubali ili Arsenal iwe kwenye mazingira mazuri ya FFP.

Habari nyingine ,Bodi ya Arsenal na Benchi la ufundi kwa pamoja wamekubaliana Douglas Luiz ndiye chaguo la kwanza January, Astonivilla Wanaweka ngumu, Lakini Arsenal watapush deal hilo, Kipaumbele Cha kwanza Ni eneo la Kiungo .

Ivan Toney anapendelea Zaid kujiunga na Arsenal kuliko Chelsea ,kikwazo Cha Arsenal Ni FFP labda dili la mkopo.

Kutokana na mahusihano mazuri ya Arsenal na Brentford,ambapo Arsenal wamekuwa waaminifu na kuwajulisha Jana kuwa wata trigger kipengere Cha kumnunua David Raya moja kwa moja , Wachambuzi wa soka wanaonelea Arsenal inaweza kufanya biashara tena na Brentford ya mkopo kwa Ivan Toney na kiasi kingine Cha Fedha kitumike kununua kiungo .

View attachment 2823323
Soon Brentford litakua tawi letu..
 
Klopp analalamika mechi kuwekwa saa 6 mchana kwa masaa ya uingereza.

Naona ashaingia woga, time mbaya ukilinganisha na intensity ya mechi plus wapo ugenini, basi balaa tupu!

Sisi huku tunaomba sare tu.
 
Nadhani Klopp ana hoja ya msingi. Players toka kwenye international duties kwa mataifa kama ya south america (Brazil, Argentina, Uruguay, Colombia et al) wanasafiri muda mrefu kurudi kwenye clubs zao ulaya na wanatakiwa kwenye match day jumamosi saa 6 mchana huku wakiwa na fatique za mechi na safari.

Hili jambo linachochea injuries kwa players, tafiti zinaonesha kumekuwa na ongezeko la injuries recently kutokana na congested fixtures za vilabu na international duties.

Average game time ya young players imeongezeka sana hivi karibuni na kusababisha injuries kwa wingi kwa hawa vijana na hivyo kutishia career zao huko mbeleni kuwa kwenye risk ya kuandamwa na injuries.

Pia sheria mpya ya “added time” ambayo imekuwa adopted na league za ulaya imeongeza game time kwa 10-15mins.

Hata average recovery time ya injured players imeongezeka kwa 8days more kwa sababu hizo hizo za wachezaji kutumika sana bila kupata muda sahihi wa kupumzika kati ya mechi moja na nyingine ama mashindano mbalimbali i.e league, uefa, euro, concacaf, afcon, world cup, na qualifying matches hapo katikati.

Hizi team za big six zinakuwa na more than 10 players ambao ni regular first team players wanao shiriki michuano yote hiyo.

Inalalamikiwa kuwa watu walio kwenye ngazi za maamuzi katika vyama vya mipira kwa sasa wako money oriented zaidi, wanafocus kwenye kuingiza mapato mengi kwa kuwatumikisha wachezaji bila kujali well being na career zao.

Hata hivyo, Klopp sio kocha pekee anaye-raise concern, hii issue imepigiwa kelele na multiple coaches and players in recent years. Varane alichagua kustaafu national team ili apate muda wa kuchezea club yake at the age of 29 huku akitoa kauli, “I feel like am suffocating” akijaribu kuleza kuelemewa na wingi wa mechi.
 
IMG-20231125-WA0002.jpg
 
Pep muhuni, ikifika international break wachezaji wake wanaumwa
 
Sasa hivi naona vilabu vinabanwa sana, Fifa imevipa mamlaka vyama vya soka kujiridhisha incase wana wasiwasi na taarifa za injury za mchezaji wao kupitia national team doctors.

Gabriel Jesus kwa mfano, recently ameitwa national team pamoja na kuwa na taarifa za injury toka kwa Arsenal fc. It seems as though no stone will be left unturn
 
Kama injury ya Ødegaard haikuwa injury exactly, ni kwamba Ødegaard hakuwa kwenye good form hapo nyuma, wakaja kusema alipigwa na mpira usoni ili kuzuia asiitwe national team apate muda wa kurudi.

Madaktari wa timu ya taifa walivyokuja kumcheki wakaona hana tatizo na kocha wao akaja kusema kwenye media kuwa haelewi kwanini Arsenal hawakutaka acheze wakati hakuwa na injury ya kutisha kama walivyosema.
 
Sasa hivi naona vilabu vinabanwa sana, Fifa imevipa mamlaka vyama vya soka kujiridhisha incase wana wasiwasi na taarifa za injury za mchezaji wao kupitia national team doctors.

Gabriel Jesus kwa mfano, recently ameitwa national team pamoja na kuwa na taarifa za injury toka kwa Arsenal fc. It seems as though no stone will be left unturn
Sio city akiamua anapumzisha tu watu wake
 
City 1-1 Liverpool. Fursa kwetu washika bunduki kukaa kileleni sasa😀
Liver Wana roho ya paka wale watu...rasmi nawaona wakigombea ubingwa wasipopata majeraha makubwa ya wachezaji muhimu maana Wana kikosi finyu ndo shida yao
 
Friends of Brentford tayari tushatia kambi humu, kina Maupay, Mbeumo, Wissa na Le captain Nørgaard wamesema ni bora wafie uwanjani lakini sio kufungwa na dhaifu kama Arsenyau.
Leo kuna chezaji muhimu la Arsenyau kama halitakula umeme basi injury miezi 6, naomba msiniulize ni chezaji gani.
1700924969895.jpg
1700924621702.jpg
1700924644434.jpg
 
Back
Top Bottom