makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,428
- 108,438
Haka ka nketiah ni kapimbi nini.. 😠
I smelled something [emoji41]Kai saka Trossad Nketiah
I smell something
Kwa sababu ni timu ndogo iliyochangamkaSasa inakuwaje tunakaa chini tena, kupaki basi. 🤔
Pole, chungu lakini dawa itabidi uinywe tuu..Hii game akishinda Arsenal,basi uchawi upo kwenye soka.
Kwa kweli sioni timu ya kunyanyua kwapa mwisho wa msimu huu labda man utd,city na liverpool washushe daraja.
Sio busara kupigana na mtu ambae hana Cha kupotezaDk 2 zilizobaki arteta kaamua kupaki basi.
Umeliona jahazi kaka [emoji23][emoji23][emoji23]Jahazi gani na wewe mkorea [emoji23]
Tukutane May 2024[emoji16][emoji16]
View attachment 2825162
Kesho tutashinda jukwaani kwenu kuwajazia nzi mbele ya Everton kuku nyny...mda wa kuungana ligi nzima na kuanza kutufanyia figisu kama mwaka jana ushafika ndugu zetu....tembo kakwea tawi rasmi🤠🤠🤠...tupo juu kudadekiHii game akishinda Arsenal,basi uchawi upo kwenye soka.
Kwa kweli sioni timu ya kunyanyua kwapa mwisho wa msimu huu labda man utd,city na liverpool washushe daraja.
Tungefunguka tungeambulia point 1. Arteta alipaswa kuua game. Hata Pep hufanya hivyo.Dk 2 zilizobaki arteta kaamua kupaki basi.
Ukikasirika uwe na sababu