Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watu wamsemi humu kama Havertz kasababisha penalty jana. Kinachoongelewa ni kufunga tu, ukiliona hilo goli lenyewe sasa!😅🙌
 
Wenye mafanikio huwa hawapigi kelele, Ila wale wenye nacho kidogo ndio huwa wanapenda kitambulika kwamba wanacho. Mfano mzuri ni Arsenal wanajiita ni timu kubwa na Mashabiki wake ni wapiga kelele mno lakini timu yao tangu ianzishwe haina UEFA wala EUROPA na Mara yao ya mwisho kubeba EPL ilikuwa 2003/04.
Usisahau ile UEFA Cup Winners Cup yetu
 
Nafuatilia.. Blankstenius yuko moto, kila akicheza anakupa goli au assist. Mead nae karudi.
Kati yupo Cooney-cross, ameanza mechi mbili mfululizo.. naona yuko vizuri.

Walianza msimu vibaya ila sasa wameanza kukaa sawa.
 
According to club and club doctor’s Jurrien Timber is expected to be back on the 20th January 2024 next year when we face Crystal Palace at home

Come back strong Jurrien
IMG-20231119-WA0008.jpg
 
Wanafata wao na Chelsea

Financial advisor

Chelsea and Man City look set to face RELEGATION from the Premier League after Everton's 10-point deduction if they are found guilty of breaking FFP rules



Everton kukatwa point wanasema wameanza nae ili wafatie Chelsea na mancity ambao adhabu zao Ni kwenda championship

Daily Mail hakuna habar nzuri za Chelsea huwa wanaleta nakumbuka wakat Sanction ya Roman waliwahi hadi sema hatutouza Ticket za UEFA,


Tena huyo martin ziegler habar zake zote naona huwa zakukurupuka
IMG_0476.jpg

IMG_0475.jpg

IMG_0474.jpg
 
Jurrien Timber’s injury rehabilitation is progressing smoothly. Medical team are more than happy with the results of his scans from last week. Arsenal will look to integrate him back slowly post new year, but all signs are very positive so far.
 
Back
Top Bottom