Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

️Bukayo Saka sasa anashika nafasi ya tatu kwa thamani ya uhamisho wa wachezaji katika soka duniani, kulingana na CIES Football.

Winga wa Arsenal yuko nyuma ya Vinicius Junior pekee wa Real Madrid na Erling Haaland wa @Manchester_City.

Hisa za Bukayo zinaendelea kupanda...

Arsenal
 
Arsenal are set to open contract talks with Takehiro Tomiyasu very soon, after the recent interest from Bayern Munich.

The defender is seen as a very important part of Mikel Arteta’s future plans and the club do not want to let him go, for any price, any time soon.
IMG-20231025-WA0006.jpg
 
Jurrien Timber was very emotional in his last interview
I cried every match day that am not in the game helping my teammates.. but one thing is sure; am coming back stronger than I was

Timber on 1 and 2.
IMG-20231124-WA0001.jpg
 
Hao watakaokuja hatuna uhakika 100% kuwa watafanya vyema kama yeye, ndo umuhimu wa yeye kuwepo na pancha zake angalau tuwe na lile tumaini japo kidogo.
Sahihi kabisa, partey ni abaki ili anaekuja tumuone anaingiaje kwenye mfumo.
Partey ni mtu muhimu uchawi ni pancha zake, jamaa kaoza kila sehemu anaweza akalala na kuamka injury. 😂
 
Quality ya kwanza ya mchezaji muhimu kwny kikosi ni availability yake...ukiwa available mara kwa mara utapata game time ya kutosha na kuna asilimia kubwa utatoa Kila ambacho kinatarajiwa kwa sababu unapata uzoefu ukiwa unacheza mara kwa mara.....Sasa Partey ni mchezaji muhimu ila anatu cost kwa pancha zake....mifano ya mechi alizo tucost nimeitoa....unakaa kujiuliza ikitokea siku Rice naye kaumia si ndo mnarudi hatua 10 nyuma....aende aje mwingine atakayekuwa injury free....Partey majeruhi yake is too much aisee
Huyo Partey kiwete mumuuze uarabuni
 
Quality ya kwanza ya mchezaji muhimu kwny kikosi ni availability yake...ukiwa available mara kwa mara utapata game time ya kutosha na kuna asilimia kubwa utatoa Kila ambacho kinatarajiwa kwa sababu unapata uzoefu ukiwa unacheza mara kwa mara.....Sasa Partey ni mchezaji muhimu ila anatu cost kwa pancha zake....mifano ya mechi alizo tucost nimeitoa....unakaa kujiuliza ikitokea siku Rice naye kaumia si ndo mnarudi hatua 10 nyuma....aende aje mwingine atakayekuwa injury free....Partey majeruhi yake is too much aisee
Sisi mbona tuliuza Ngolo Kante na Kovacic ?, jitu likishaanza kula pancha uza
 
Arsenal are set to open contract talks with Takehiro Tomiyasu very soon, after the recent interest from Bayern Munich.

The defender is seen as a very important part of Mikel Arteta’s future plans and the club do not want to let him go, for any price, any time soon.View attachment 2822885
Wachezaji kutoka Japan huwa wako strong Halafu technically good
Sijawahi ona mchezaji wa ovyo toka Japan
 
International break imeisha na ni muda wa Arteta Ball.

Usikose Jumamosi hii Saa 2:30 Usiku Arsenal Supporters Club Tz tunakutana Mibbs -Sinza kama kawaida kushuhudia chama kubwa likirudi juu tena.

Vaa Jezi Yako,Tukutane Mibbs. USIKOSE.

#BREARS #SwahiliGooners #COYG
20231124_153657.jpg
 
Rasmi David Raya Sasa ni mwanafamilia wa Arsenal,amesaini mkataba mrefu

Arsenal imewajulisha Brentford kuwa mwakani 2024 wata trigger kipengere Cha buy option Cha €30m(£27m)

Brentford walikubali ili Arsenal iwe kwenye mazingira mazuri ya FFP.

Habari nyingine ,Bodi ya Arsenal na Benchi la ufundi kwa pamoja wamekubaliana Douglas Luiz ndiye chaguo la kwanza January, Astonivilla Wanaweka ngumu, Lakini Arsenal watapush deal hilo, Kipaumbele Cha kwanza Ni eneo la Kiungo .

Ivan Toney anapendelea Zaid kujiunga na Arsenal kuliko Chelsea ,kikwazo Cha Arsenal Ni FFP labda dili la mkopo.

Kutokana na mahusihano mazuri ya Arsenal na Brentford,ambapo Arsenal wamekuwa waaminifu na kuwajulisha Jana kuwa wata trigger kipengere Cha kumnunua David Raya moja kwa moja , Wachambuzi wa soka wanaonelea Arsenal inaweza kufanya biashara tena na Brentford ya mkopo kwa Ivan Toney na kiasi kingine Cha Fedha kitumike kununua kiungo .

20231123_103025.jpg
 
EXCLUSIVE:


Arsenal sold 850,000 official replica shirts globally in the 2022/23 season, according to multi-year research by Dr. Peter Rohlmann from PR Marketing, an authority in the sports marketing industry. Sales of shirts produced by Adidas increased by almost 20% compared
20231124_155509.jpg
 
JE WAJUA ?

Declan Rice alipokutana na Arsenal kwenye uwanja wa London stadium katika mechi ya Westham Vs Arsenal,
Baada ya mechi aliomba jezi ya Arsenal akamfata Martin Ødegaard akamuomba asaini ,hii inasemwa aliweka ahadi lazima atajiunga na Arsenal
FB_IMG_1700194447029.jpg
 
Declan Rice najisikia aibu uwanja mzima wa Emirates wanaponiimba " Rice, Rice baby: "

"Najisikia aibu wakati fulani, kusema kweli. Watu 60,000 wananiimba.

Lakini, ni wazi kwamba najihisi uungwaji mkono na upendo kutoka kwa mashabiki wa Arsenal ."
20231120_084455.jpg
 
Back
Top Bottom