arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Mkuu tutajie ndani ya miaka 25 ilopita mna makombe mangapi ya EPL🤠🤠...mnatupigia kelele humu tuna Nyunyez sijui...Salah...sijui Firmino kipindi kile mara Mane...lakini mna kombe moja la EPL kwa miaka almost 25Wenye mafanikio huwa hawapigi kelele, Ila wale wenye nacho kidogo ndio huwa wanapenda kitambulika kwamba wanacho. Mfano mzuri ni Arsenal wanajiita ni timu kubwa na Mashabiki wake ni wapiga kelele mno lakini timu yao tangu ianzishwe haina UEFA wala EUROPA na Mara yao ya mwisho kubeba EPL ilikuwa 2003/04.