Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Jipange we kenge, we're coming for the kill.Amka ukakojoe pamekucha
Jipange we kenge, we're coming for the kill.Amka ukakojoe pamekucha
Kwa midomo hii nawapa laanaKuna makocha na aina flani ya wachezaji wa kubeba UCL. Sio Arteta na mbarara zake.
Nimesamehe mkuuNisamehe Mkuu, nimefuta kauli. Nakuheshimu Mkuu.
Relegation now looks a very real prospect for Manchester United’s rivals Man City and Chelsea! Ishu ya City hua inaibuka baadae unazimaRelegation now looks a very real prospect for Manchester United’s rivals Man City and Chelsea!
Everton’s 10 point deduction was for a single breach of Premier League rules, while City have been charged with 115 alleged breaches.
Given the sanction handed out to Everton, the threat of a 30-point deduction or automatic relegation from the Premier League would look to be very real for both City and Chelsea should charges be proven in an independent regulatory commission.
[@TimesSport]
Huu msimu tuna timu ya kuchukua makombe yote mawili EPL & UCL tukiwa injury free na tuki reinforce sajili za January. Naliona kombe moja hivi ila mawili yanawezekana, fainali flani UCL ambayo tunampiga City kiroho mbaya itakuwa unyama sana bamdogo.
. Timu zote zinapata injuries so injury ni constant value, huwezi kusema nimekosa ubingwa kisa injuries.Trace mwaka ambao kikosi chako chote kilikua fit. Kisha taja kikombe mlichochukua.FALSE HOPE ! Kwamba injury free , mbona visingizio vingi sana. Timu zote zinapata injuries so injury ni constant value, huwezi kusema nimekosa ubingwa kisa injuries.
Kuna mtu anaonyesha last season arsenal after 12 games alikua na point 30 halafu this season man city ana point 28 after 12 games sasa sijui anataka kuwapa false hope gani waumini, anasahau kwamba pamoja na point 30 lakini alitoka trophyless
Trace mwaka ambao kikosi chako chote kilikua fit. Kisha taja kikombe mlichochukua.
Trace mwaka ambao kikosi chako chote kilikua fit. Kisha taja kikombe mlichochukua.Nilishakujibu hili au hukuelewa nirudie ? Soma tena kile nilichokiandikaView attachment 2817013
Kwa hisani ya GORDON na kilio cha arteta
Everton wafuatilie bhana wasizame peke yao.. Sisi huku tuendelee kuongeza popcorn 🍿😁Kwa mujibu wa sheria ya FFP Vilabu vinaruhusiwa kupoteza £105m kwa miaka 3, na Everton walipoteza £124.5m
Kwahiyo Everton alivuka £20m zaidi
Mancity na Chelsea wamefanya zaidi ya hayo ,Everton wamesema watafatilia haki itendeke kote
Mwisho wa msimu mkachukua kombeMsimu uliopita muda kama huu ARSENAL mlikuwa mnaongoza league na Mlikuwa mmeshatuacha LIVERPOOL kwa Point 15.View attachment 2817043
Trace mwaka ambao kikosi chako chote kilikua fit. Kisha taja kikombe mlichochukua.