Mkuu naona ulinielewa vizuri mnoGoli lilivyofungwa ndo maana halisi ya hii comment yako, uliona kitakachokwenda kutokea na ndo kilitokea kwa aslimia 100.
Mkorea kwenye 1 na 2

EXCLUSIVENilikuwa Twitter napiga spana Wachambuzi uchwara , manjesta fans ,now wamekimbia wote
Ukiona popote Arsenal inasemwa vibaya ,Arsenal fan anasumbuliwa, niite


ile juzi Saint Anne amenisumbua Sana mbaya zaidi ni humu humuNi tukio gani walifanya au udanganyifu kwenye soko, walizidi matumiziEXCLUSIVE
Everton kakatwa points 10
Wanafata wale wenye vidomo Domo
Wanapoint 15 watakatwa points 12 View attachment 2816547
Username yako twitter tukufollow tacticoNilikuwa Twitter napiga spana Wachambuzi uchwara , manjesta fans ,now wamekimbia wote
Ukiona popote Arsenal inasemwa vibaya ,Arsenal fan anasumbuliwa, niite
Wanafata wao na ChelseaAnaachwa Man City
View attachment 2816553

Walizidi matumiziNi tukio gani walifanya au udanganyifu kwenye soko, walizidi matumizi
City na Kenge wanakoswa vipi Sasa?Walizidi matumizi
Na ndio club zinazoheshimika UingerezaHii Ligi klabu zinazoendeshwa kwa Usafi Ni
Arsenal
Liverpool
Manjesta



Amka ukakojoe pamekuchaHuu msimu tuna timu ya kuchukua makombe yote mawili EPL & UCL tukiwa injury free na tuki reinforce sajili za January. Naliona kombe moja hivi ila mawili yanawezekana, fainali flani UCL ambayo tunampiga City kiroho mbaya itakuwa unyama sana bamdogo.
Hii ni serious?Wanafata wao na Chelsea
Financial advisor
Chelsea and Man City look set to face RELEGATION from the Premier League after Everton's 10-point deduction if they are found guilty of breaking FFP rules
Everton kukatwa point wanasema wameanza nae ili wafatie Chelsea na mancity ambao adhabu zao Ni kwenda championship
Hakuna kitu kinawauma kama kusikia Arsenal atashinda UCL cuz mnajua wazi ndio kitu kinachowapa hope mbele ya Arsenal
Brother mnavuka mpaka don't mention UCL, futeni kwenye akili zenu, hizo ni level za juu sana. Zingatieni carabao na FA
Hiyo Epl ndio mnasubiria hiyo city ashushwe daraja hahaha
Yah ,Chelsea anaweza kuponea kukatwa point , mancity anashushwa madaraja ya chiniHii ni serious?