mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,226
We ujeuri asili yako.. 😂🤣Ramsdale alishakula kwa niaba yenu
Anajua kabisa hamtaambulia chochote😂
Ndio walivyo watoto wa mbeya wa kizazi hiki cha .comNi mjeuri na mtukutu pia![]()
We mtoto shika adabuNdio walivyo watoto wa mbeya wa kizazi hiki cha .com

Arse8 fungu la kukosaW
We ujeuri asili yako..![]()
Ramsdale katika dakika mbili tatu za umadness kichwani

Naenda kumpa namba zako Rambo, myamalize wenyeweRamsdale katika dakika mbili tatu za umadness kichwani![]()

Limelala Stand Mawasiliano,asbh tumemuonaKipa wa unyumbuni ni Nini,![]()
flano na genge lake wakikusikia![]()
Sina baya nayeNaenda kumpa namba zako Rambo, myamalize wenyewe![]()
Kiwewe cha kuongoza ligiTunazuga kama siyo ishu ila ndani tunaumia sana. Ubingwa ulikuwa nje nje tunaouna ingawa kiuhalisia hatukutegemea kukimbiza vile. Nahisi tulikuwa Bado tunashangaa Ile situation tukaamua turudie maisha tuliyoyazoea.

😁😁 Nakubali mkuu.Leandro ananikumbisha enzi zangu, kasoro tu ye anatumia vyema miguu yote, mie mguu wa kulia ndio nilikiwa nautumia, mguu wa kushoto ni wa kuoandia kitandank, namba nyingi nilikuwa nacheza kwa ufasaha mkubwa mnoo, namba yangu pendwa ilikuwa ni winga wa kushoto na namba 10, ila winger ya kulia nacheza, namba 9 nabonda japo sienjoy kusema ukweli. Namba 8 ndio mama yangu nikicheza namba 8, unashangaa, kuna game tulienda kubonda sehemu namba 6 yetu tegemezi ikaumia, nikamuomba mwalimu nicheze hapo, kulikuwa na winger wa akiba(sio tegemezi) akala wiger yangu, niliupiga mwingi siku hiyo, anayofanya partey ndio yalikuwa mambo yangu, mwalimu akabaki kinywa wazi. Pengo la namba 6 halikuwepo nikaupiga mwingi game inaisha mwalimu wa wapinzani ananiomba niwe naenda kupiga nao mazoezi.
Ndio maana mie mchezaji asiye mnyumbulifu, mchezaji mgumu mgumu tu, yupo kama tren alipoelekea ndio huko huko.. Simpendi hata kidoogo kwa kweli.
Vipaji vingi vinapotea mtaani, kwetu shule ndio ilikuwa kipaumbele, ila ningeweka umakini kwenye game huenda mingekuwa mbali sana.😁😁 Nakubali mkuu.
Me enzi zangu washkaji walikuwa wananiita Dembele, nilikuwa nikishika mpira napita mbele ya msitu na sipotezi, ilikuwa combination ya minguvu na "udambwidambwi" hiyo mishuti sasa 😁 kipa utaomba poo. Sema ndo hivyo wazazi hawasapoti vipajiView attachment 2815153
🤣🤣🤣...hapo mwishoni umeua mkuuVipaji vingi vinapotea mtaani, kwetu shule ndio ilikuwa kipaumbele, ila ningeweka umakini kwenye game huenda mingekuwa mbali sana.
Kuna kipindi nilikuwa sina mazoezi, shule yetubhaikuwa na mambo ya michezo, ilivyotokea yale mashindano ya shule za sekondari tukapangwa, mwalimj wetu alikuwa ni mkenya anaioenda saana arsenal, mara kibao kanifumania nimetoroka shule niko mtaani nacheki game, siku ya kwanza kunifuma ilikuwa msala lakini kwa kuwa mshabiki wa arsenal na class nilikuwa fresh haikuwa kesi kubwa sana.
Sasa yule ticha alitupambania kwa mkuu wa shule tukacheze ile game, aana wale masister(wahindi) walikuwa wameshatia ngumu, kweli tukapiga mazoezi siku 3, siku ya 4 game..
Mie nilichelewa kufika, nikakuta game ishaanza, nikaingia kipindi cha pili.
Aisee nilicheza kama namba 10, timu ilikuwa imekufa pale, aisee nilichowafanya ile timu pinzani kwa dk 15, 20 hivi kabla pumzi kisoda hazijakata ni balaa uwanja ulikuwa kila nikipatabmpira unatapika, uwanja ulikuwa wa wapinzani wetu lakini nilioata mashabiki kinooma, game inaisha watu wananisherehekea japo tulipigwa 4-2, mademu, washikaji wa shule ile wanakuja kunipa pongezi.
Kauli moja naikumbuka vizuri saan, alikuja beki wao, ambae si chini ya mara 3 nilimlambisha mchanga akaniambia "mwanangu we ni fundi saana, inaonekana huna mazoezi ila unaujua saana mpira, ungezaliwa ulaya ungecheza timu kubwa bila shaka"
Nikaondoka nimepata hela za wanakijiji.
Aisee hili tukio sintosahau, ika ndio hivyo tena, sasa hivi miguu yetu tunagombania daladala za mbagala.
Wazazi wetu mpira walikuwa wanaona uhuniVipaji vingi vinapotea mtaani, kwetu shule ndio ilikuwa kipaumbele, ila ningeweka umakini kwenye game huenda mingekuwa mbali sana.
Kuna kipindi nilikuwa sina mazoezi, shule yetubhaikuwa na mambo ya michezo, ilivyotokea yale mashindano ya shule za sekondari tukapangwa, mwalimj wetu alikuwa ni mkenya anaioenda saana arsenal, mara kibao kanifumania nimetoroka shule niko mtaani nacheki game, siku ya kwanza kunifuma ilikuwa msala lakini kwa kuwa mshabiki wa arsenal na class nilikuwa fresh haikuwa kesi kubwa sana.
Sasa yule ticha alitupambania kwa mkuu wa shule tukacheze ile game, aana wale masister(wahindi) walikuwa wameshatia ngumu, kweli tukapiga mazoezi siku 3, siku ya 4 game..
Mie nilichelewa kufika, nikakuta game ishaanza, nikaingia kipindi cha pili.
Aisee nilicheza kama namba 10, timu ilikuwa imekufa pale, aisee nilichowafanya ile timu pinzani kwa dk 15, 20 hivi kabla pumzi kisoda hazijakata ni balaa uwanja ulikuwa kila nikipatabmpira unatapika, uwanja ulikuwa wa wapinzani wetu lakini nilioata mashabiki kinooma, game inaisha watu wananisherehekea japo tulipigwa 4-2, mademu, washikaji wa shule ile wanakuja kunipa pongezi.
Kauli moja naikumbuka vizuri saan, alikuja beki wao, ambae si chini ya mara 3 nilimlambisha mchanga akaniambia "mwanangu we ni fundi saana, inaonekana huna mazoezi ila unaujua saana mpira, ungezaliwa ulaya ungecheza timu kubwa bila shaka"
Nikaondoka nimepata hela za wanakijiji.
Aisee hili tukio sintosahau, ika ndio hivyo tena, sasa hivi miguu yetu tunagombania daladala za mbagala.
😂🤣Mkuu we acha tu, ila huo ni ukweli... Unakuta mtu mguuni ana vitu vya pogba lakini mguu unapiga kick tu za bodaboda. 🤣😂🤣🤣🤣...hapo mwishoni umeua mkuu
Kabisa, waliona shule ndio sehemu ya kutobolea tu. Wale niliocheza nao na kukubali viwango vyao wachache wamecheza premier league, kuna wa2 hivi hawa bahati sio yao na wanajua haswaa na wameupambania saana mpira, kifupi wanaudai mpira, ila bahati sio yao kabisa, wamecheza mpaka ligi daraja la kwanza, hawajabahatika kupiga premier na umri ndio ushaenda.Wazazi wetu mpira walikuwa wanaona uhuni
🤣🤣...Mungu atusaidie kwakwli😂🤣Mkuu we acha tu, ila huo ni ukweli... Unakuta mtu mguuni ana vitu vya pogba lakini mguu unapiga kick tu za bodaboda. 🤣😂