Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,496
- 235,192
Kama mlishindwa kujipa wenyewe msimu JanaMkuu jaribu kuweka unafki pembeni, ebu tupe heshima yetu bhn[emoji1][emoji1][emoji1]
Sisi ni nani tuwape?
Kama mlishindwa kujipa wenyewe msimu JanaMkuu jaribu kuweka unafki pembeni, ebu tupe heshima yetu bhn[emoji1][emoji1][emoji1]
Sisi tunamjua mwamba mdaka mishaleKipa wa arsenal tunaemtambua ni Raya ambae ata kiungo anacheza kwa kiwango kilekile
Haina noma, ngoja tuendeleze hii dozi, heshima yetu tutachukua kinguvuKama mlishindwa kujipa wenyewe msimu Jana
Sisi ni nani tuwape?
[emoji1][emoji1]Si tunamjua mwamba mdaka mishale
Ramsdale the Saviour
Form ya kupokonywa ubingwa na kuambulia patupu.Haina noma, ngoja tuendeleze hii dozi, heshima yetu tutachukua kinguvu
Kumbuka bado hatupo Ile form ya msimu uliopita[emoji41]
Jamaa noma sana.[emoji1][emoji1]
[emoji1][emoji1][emoji1] comments Kama hizi, tutakuja kuzifukuaForm ya kupokonywa ubingwa na kuambulia patupu.
Wasindikizaji FC...
Oneni timu ya Dunia liver inavyobeba makombe yote.
[emoji1][emoji1][emoji1] nyumbu hawana kipa, naiona €60M za Rambo zikijaJamaa noma sana.
Anasema"I'm finished,I can't do"
Whoii mimi hoi kwa kicheko[emoji1787]
Fukua tu hakuna shida[emoji1][emoji1][emoji1] comments Kama hizi, tutakuja kuzifukua
UefaFukua tu hakuna shida
Muda huo mnalia na kuomboleza.
Endelea kuotaUefa
Ligi
Fa
Hapo mnatuachia NDOO mbili
Sasa mtaamua wenyewe tuchukue lipi na lipi
Sijalewa nipo serious hapa [emoji41]Endelea kuota
Leandro ananikumbisha enzi zangu, kasoro tu ye anatumia vyema miguu yote, mie mguu wa kulia ndio nilikiwa nautumia, mguu wa kushoto ni wa kuoandia kitandank, namba nyingi nilikuwa nacheza kwa ufasaha mkubwa mnoo, namba yangu pendwa ilikuwa ni winga wa kushoto na namba 10, ila winger ya kulia nacheza, namba 9 nabonda japo sienjoy kusema ukweli. Namba 8 ndio mama yangu nikicheza namba 8, unashangaa, kuna game tulienda kubonda sehemu namba 6 yetu tegemezi ikaumia, nikamuomba mwalimu nicheze hapo, kulikuwa na winger wa akiba(sio tegemezi) akala wiger yangu, niliupiga mwingi siku hiyo, anayofanya partey ndio yalikuwa mambo yangu, mwalimu akabaki kinywa wazi. Pengo la namba 6 halikuwepo nikaupiga mwingi game inaisha mwalimu wa wapinzani ananiomba niwe naenda kupiga nao mazoezi.Leandro Trossard kwenye nafasi gani anajisikia vizuri zaidi akicheza:
“Hilo ni swali gumu. Sijali sana kucheza nafasi zote za juu, naona sawa. Ikiwa ni winga wa kushoto, kama tisa wa uongo, hata kama kiungo mshambuliaji, sina jibu la moja kwa moja kwa hilo.
“Nikiwa mtoto nilicheza kama nambari kumi, kama kiungo mshambuliaji au kama mshambuliaji pia.
“Siku zote huwa najitahidi kuwa kwenye eneo la hatari na katika nafasi nzuri za kufunga mabao na kwa ubora tulionao Arssnal, najua lazima niwepo, hasa nikicheza winga ya kushoto, nahitaji kuwa pale, kwa mfano. , Bukayo Saka yuko na mpira upande wa kulia, kwa hivyo nafuata silika yangu huko, kujiweka katika nafasi sahihi za kufunga mabao."View attachment 2814548
Tukichukua ndoo, tutakuoa tenda ya kutupikia keki kuuubwa ambayo itavunja rekodi ya katika keki zako kubwa ulizowahi pika.Form ya kupokonywa ubingwa na kuambulia patupu.
Wasindikizaji FC...
Oneni timu ya Dunia liver inavyobeba makombe yote.
Tukichukua ndoo, tutakuoa tenda ya kutupikia keki kuuubwa ambayo itavunja rekodi ya katika keki zako kubwa ulizowahi pika.
Tuombee mema tu.
😂Sijalewa nipo serious hapa [emoji41]
Uefa
Ligi
FA
Hapo mawili yanaenda gunners
Arsenal kondoo😆Saint Anne itunze hiyo, wenye team wamekuja[emoji1][emoji1]
Ramsdale alishakula kwa niaba yenuTukichukua ndoo, tutakuoa tenda ya kutupikia keki kuuubwa ambayo itavunja rekodi ya katika keki zako kubwa ulizowahi pika.
Tuombee mema tu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]
We ujeuri asili yako.. 😂🤣Ramsdale alishakula kwa niaba yenu
Anajua kabisa hamtaambulia chochote😂