999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 875
- 1,629
Ana miaka mingapi sahivi?
Nakumbuka yeye mwenyewe ashawahi kusema, amechezea timu kadhaa, lakini anashangaa upendo wa mashabiki WA arsenal
Ana miaka mingapi sahivi?
Game 1-1 hiyo afu tunakaa juu na hatushuki
Kama mipango ndio hio basi January inabidi lifungwe busta tena😆😆😆 ila kuwategemea kina joginyo na kai iwe kama ziada tuBinafsi natamani tushinde EPL ili ku attract superstars kama Leao au Mbappe wataofanya tushinde UEFA kirahisi. Inaonekana kama ndoto vile, si ndio?
Ndio hii ninayotumia, labda nikutumie linkMkorea hebu nitajie ile version ya Jf ambayo picha zinaonekana
Nime update App kwa simu ,JF nayo imekuwa updated,sioni tena picha
Mkorea hebu nitajie ile version ya Jf ambayo picha zinaonekana
Nime update App kwa simu ,JF nayo imekuwa updated,sioni tena picha
Martinelli hawezi kucheza no. 9. Haya ni matumizi mabovu ya mchezaji..
Nikikumbuka Antony alivyokua anaanza mbele ya martinel nilikuwa nacheka tu
Hapo Kuna positional plays za hatari sana kwa hao wote washambuliaji wanneMartinelli hawezi kucheza no. 9. Haya ni matumizi mabovu ya mchezaji..
Martinelli hivi bado hajajichora matattoo kama wenzake ? au naye ni suala la muda tu?Gabriel Jesus alishiriki katika mazoezi ya timu ya Taifa Brazil maarufu Kama Seleção Jumanne hii huko Granja Comary
View attachment 2814490View attachment 2814491View attachment 2814492View attachment 2814493
Uone liver tunavyoupiga mwingiI will be there madame Anne ,no matter what
Mambo vipiUone liver tunavyoupiga mwingi
Nipo mbona tangu asubuhiMambo vipi
Naona mida yako hii ya kuingia
Hii arsenal NDOO Ushindi wa mpinzani ni drawNipo mbona tangu asubuhi
Ramsdale tupo naye hapa home, anatusaidia kubadili bulb...
Msitake aconcetrate dakika zote mchezoni
Ndoo ama kondoo? 😂Hii arsenal NDOO Ushindi wa mpinzani ni draw
Kama una magonjwa ya presha nakutaadhalisha mapema. Kaa mbali na Arsenal hii
Ushauri natoaga kwa pesa, Ila wewe nimekupa bure
Msimu uliopita tulikua tunatest mitamboNdoo ama kondoo?
Kama msimu ulopita mlishindwa kubeba ndio, basi nyie mtaambulia kondoo labda![]()
Ndio basi tena mshaharibuMsimu uliopita tulikua tunatest mitambo
Msimu huu mkae kwa kutulia, FIMBO mwanzo mwisho