Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mjini ndio makazi ,nipo A town kikaz, hiyo mechi nitakuwa town ,

Moja ya ajenda zetu ilikuwa kumpiga city tukafanikiwa mara 2, nyingine kushinda away kwa Everton, tumefanikiwa ,

Imebaki, kubeba point uwanjani kwenu
Oh kumbe!
Nipe deal hizo za A town Mkuu,, Mimi napishana nazo sana wakati ni mji ninaoupenda sana.


Sisi ajenda zenu hatuzijui
Tunachotaka sisi ni kuona kikombe
 
Lakini timu iko nafasi ya 6 na inazidiwa pointi 6 na arsenal iliyo na nketiah mwenye hatrick.
Manjesta hizi point mlizonazo Ni mechi mlizoshinda ,bado Kuna vipigo vingi na droo vinakuja

Naiona manjesta ikishika nafasi za 7-10

Kama unabisha ,njoo tuwekane sawa hoja kwa hoja
 
Chelkenge wametoa droo ya 4-4 na city kwa mpira wa kushawishi kabisa kuwa ni wazuri kuliko nyie washika manati mlioshinda goli 1-0 kwa pira la kubabatiza na bado hawajihisi kuwa mabingwa. Arsenal mmebahatisha ushindi mwembamba wa bahati nasibu dhidi ya city mkaanza kelele kuwa mwaka wenu huu. Mbaya zaidi tangu msimu uanze baada ya MW 1 hamjawahi kukaa kileleni lakini mnajiona mabingwa wajao.
Punguzeni matarajio msije kufa kwa presha hopers.
Hater unaumia ukiwa wapi?
 
Arsenal are ready to hijack Newcastle’s move for Ruben Neves. Arsenal’s sporting director Edu is known to be a long-term admirer of former Wolves star Neves.

[@alex_crook]
 
Premier League clubs are expected to vote next week in favour of a block on clubs loaning players from within their own ownership group. The change in regulations could benefit Arsenal, who've have made bolstering their midfield a priority with Partey ruled out for a while.
Arsenal are ready to hijack Newcastle’s move for Ruben Neves. Arsenal’s sporting director Edu is known to be a long-term admirer of former Wolves star Neves.

[@alex_crook]
 
Ruben Neves

Anatakiwa na Newcastle

Wiki ijayo Vilabu vya EPL vitapiga kula kuzuia mikopo ya Vilabu vyenye same ownership, dalili inaonesha hiyo Sheria itapita

Maana hiyo Newcastle watakuwa out of the race ,

Arsenal wanamtaka Ruben Neves kwa mkopo ana miaka 26

Ni moja ya wachezaji ambao Mikel alimuhitaji kuziba nafasi ya Xhaka Kama angeelekea AS Roma mwaka Jana.


Douglas Luiz , kumpata kwa January kama itakuwa ngumu Basi Option Ni Ruben Neves mpiga mawe
 
Ruben Neves can play both 6 and 8, I don’t think there will be a better deal in January for us.

It’s very low risk and high reward. I’ve seen reports that say Al-Hilal could even be open to an option to buy.


Let’s not forget he was on the verge of joining Barcelona last year.
 
Ramsdale’s time at Arsenal is well and truly over.

Pack your bags and leave in January.

One thing I know Arteta dislikes is someone that runs his mouth to the media
 
Ramsdale’s time at Arsenal is well and truly over.

Pack your bags and leave in January.

One thing I know Arteta dislikes is someone that runs his mouth to the media
Waingereza hawa ukiwaendekeza wanakuharibia timu.

Kama huyu anajiona kama club ni yake, yeye nani asikae benchi.

Yani asidake kipa mzuri adake yeye kisa alikua sehemu ya project.. Hii sio shida yetu fans, he has to improve his game.
 
Nyie mara ya mwisho kupata EPL kombe ilikuwa lini?
Lini mliambulia kikombe hicho?akiyanani
Nacheka kama mazuri
Toka mwanangu anazaliwa,amemaliza chuo mwaka huu,Arse8 hawana EPL.


Subiri uone tunavyomchakaza huyo Pep unayemuogopa...kumbukeni hatuna mababu kwenye timu,,,Kuna vijana wahuni wanafyatuka kama mashine.

vijana wahuni
 
Back
Top Bottom