Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mi nachojua tumefunga goli nne ila tumedroo, ndio nauliza kumfunga goli nne man city nyie mnaweza? Au ndio story zenu za kuovalod na duel win. Kondoo nyie
Sisi tunamfunga goli moja tu halafu ndo hlohlo tunashinda mechi...ila wa kumdunda nyingi huwa Chelkenge..tunamdunda za kutosha na point 3 tunachukua🤠🤠...sijui nimekujibu swali lako vzuri au bdo
 
Norway manager Solbakken about Ødegaard’s injury:

"The club (Arsenal) are so reserved so I don’t know how much I should say about it. I have known so much about the injury so I’ve never really planned with Martin."

"I can say that it is a very normal football injury that you’ll very likely recover completely from and that it’s not career threatening."

( @tv2sport)
tv2.no/sport/fotball/…
 
ACha kudanganya hizi kondoo, yaani kwamba asiwauzie kw kujutia kuwauzia Jesus mchezaji wa wodini, tena anafurahi kuwapga za uso.
Au sio
20231102_115822.jpg
 
Sisi tunamfunga goli moja tu halafu ndo hlohlo tunashinda mechi...ila wa kumdunda nyingi huwa Chelkenge..tunamdunda za kutosha na point 3 tunachukua🤠🤠...sijui nimekujibu swali lako vzuri au bdo
Umemdunda nani nyingi? Umeshasahau kwa muda mfupi hivi? Uliponea kwnye tundu la sindano.
F9HeIZKXcAAHjR3.jpeg
 
ACha kudanganya hizi kondoo, yaani kwamba asiwauzie kw kujutia kuwauzia Jesus mchezaji wa wodini, tena anafurahi kuwapga za uso.
Kuna vitu vingine tusiongee kishabiki🤠🤠...Kipara sasahv ni wazi hataki kufanya biashara na sisi tena...Laporte tulimtaka wakakataa na kumuuza huko kwa waarabu....ukitaka kuelewa tunachozingumzia cheki ule msimamo wa ligi...wale wa 3 wa juu hawauziani tena wachezaji ila atawauzia nyie wa kuanzia na nafasi ya 7 huko chini maana hamna madhara kwake🤠🤠
 
Kuna vitu vingine tusiongee kishabiki[emoji1783][emoji1783]...Kipara sasahv ni wazi hataki kufanya biashara na sisi tena...Laporte tulimtaka wakakataa na kumuuza huko kwa waarabu....ukitaka kuelewa tunachozingumzia cheki ule msimamo wa ligi...wale wa 3 wa juu hawauziani tena wachezaji ila atawauzia nyie wa kuanzia na nafasi ya 7 huko chini maana hamna madhara kwake[emoji1783][emoji1783]
Huyo ngumbaru hawezi kuelewa

Tulimtaka Cancelo ,Laporte ,Taarifa zikatoka hawawez kufanya biashara na Arsenal Tena

Kwasasa atawauzia nafas za 10 huko maana hawana madhara
 
Kuna vitu vingine tusiongee kishabiki🤠🤠...Kipara sasahv ni wazi hataki kufanya biashara na sisi tena...Laporte tulimtaka wakakataa na kumuuza huko kwa waarabu....ukitaka kuelewa tunachozingumzia cheki ule msimamo wa ligi...wale wa 3 wa juu hawauziani tena wachezaji ila atawauzia nyie wa kuanzia na nafasi ya 7 huko chini maana hamna madhara kwake🤠🤠
Waache kuwauzia waharabu wanaotoa mijihela waje wawauzie nyie kondoo mmezoea wachezaji wa afu tatu. halafu mnajidanganya kuwa eti wanaogopa kuwauzia wachezaji, Kwa lipi hasa?? kwamba mnaweza kuchukua ubingwa au?? Aisee nyie ni kondoo.
 
Huyo ngumbaru hawezi kuelewa

Tulimtaka Cancelo ,Laporte ,Taarifa zikatoka hawawez kufanya biashara na Arsenal Tena

Kwasasa atawauzia nafas za 10 huko maana hawana madhara
Kwani hata nyie mna madhara gani? hata mkiachwa muongoze ligi nyie ni loosers. Acheni kudanganyana eti city ataogopa kuwauzia mchezaji.

City anamuwaza liva kuliko tot na nyie kondoo, shuuubamit
 
Anawadanganya na form uchwara

Anapigwa gemu 2 anashinda 1 , anafanya hiyo circle ,kwahiyo ngumu kufukuzwa ,

Wakija kushtuka wanapigania kucheza europa
Everton ya sean Dyche lazima wafe naye, akishituka Galatasary hawa hapa na walishambonda 1st leg OT, akitoka hapo Newcastle wale pale, paka boxing day mashabiki utaona mabango juu.
 
Hiki ni kipindi cha makocha kufukuzwa kazi, kipindi cha mvua, uwanjani mvua zinanyesha na mpira hautembei, kwa ligi ya EPL utakuta camera zinamtafuta kocha muda wote, hakuna kujificha, waandishi wa habari wenyewe wanoko yani kocha akienda post match conference wanauliza maswali flani ya kichokozi, nakumbuka Unai Emery aliulizwa unaona kuna improvement yoyote kwenye mechi 50 ulizokuwa hapa Arsenal. ilikuwa mechi dhidi ya Leicester city hapo tumekufa (2-0) afu anajibu 'we need time' amelowana kinyama[emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom