arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
🤣🤣🤣...Mr Goodebening alitutesa sana kwakwli...pira papatupapatu...yaani kinachotokea leo Manunu ndo kilichotokea kwetu kipindi kile
Hiki ni kipindi cha makocha kufukuzwa kazi, kipindi cha mvua, uwanjani mvua zinanyesha na mpira hautembei, kwa ligi ya EPL utakuta camera zinamtafuta kocha muda wote, hakuna kujificha, waandishi wa habari wenyewe wanoko yani kocha akienda post match conference wanauliza maswali flani ya kichokozi, nakumbuka Unai Emery aliulizwa unaona kuna improvement yoyote kwenye mechi 50 ulizokuwa hapa Arsenal. ilikuwa mechi dhidi ya Leicester city hapo tumekufa (2-0) afu anajibu 'we need time' amelowana kinyama[emoji1787]