arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Tunataka tukirudi kutoka International break hyu bwana mdgo Labyrinth 84 na kile kikundi chake watunyooshee Chelsea....maana naona mashabiki wake washaanza kuongea shombo hmu ndani...wanaanza kujisahau kwmba wao ni kikundi cha marastafarai pale LondonNa ndio mpira ulipo hapo, mpira ni mchakato Na huo ndio mchakato wenyewe. Hatuchezi mpira kutumia nguvu ni akili tu ndio inacheza, yaani timu yako haiwezi kutuzidi mataji, wala Mpira, na sahau timu yako kumaliza juu yetu.