Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli tayari kashawaaminisha msimu huu wanachukua Uefa, tena kawathibitishia kabisa hakuna kombe rahisi kuchukua kama Uefa.Wazee wa lisupa kompyuta linasemaje huko, asenali atachukua kombe lolote msimu huu?
[emoji38][emoji38][emoji38]
Ukimuuliza kama kuchukua Uefa ni rahisi hivyo kama unavyotuaminisha kwenye kabati la Arsenyau kuna makombe mangapi ya Uefa?
Anakuita wewe uliohoji hilo swali ni anti semitism [emoji23][emoji23][emoji23]