hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,254
- 26,641
Msimamo wa PL kuelekea International break!Tukirudi, Man City watawakaribisha Liverpool!
Man United watakuwa away dhidi ya Everton!
Chelsea uso kwa uso na Newcastle United!
Wakati Brentford akikutana na Arsenal!
Ligi inazidi kupamba moto, na wanataka ubingwa wanaonekana!

