Timu yetu na ubovu wake , nimeanza kupenda tu kuona mpira wa kushambuliaNiliwaambia mzigo unaanguka Kati huu![]()
Pochetino kaanza kubadilika polepole , ule ushamba wa back pasess kaacha ,sasa hivi vijana wanawasha moto
Timu yetu na ubovu wake , nimeanza kupenda tu kuona mpira wa kushambuliaNiliwaambia mzigo unaanguka Kati huu![]()
Mlivyo ndezi mancity atapanda tena hapo muda mfupi ujao , kushikilia bomba hamuwezi ninyi

vita bado mbichi mura ila ngoja tuone itafika wapiiTimu yetu ya wanawake msimu huu inasua sua kwenye kupata matokeo nimekua nikifatilia game zetu yani tuna tatizp la kuruhusu magoli mapema sana..
Alikuwa PochNi juzi tu aliongea jeuri kutokana na alichosema Arteta. Mpaka wote tutaongea lugha moja.
View attachment 2812088
ARSENAL ZOTE NI TISHIO!

Ndo ujinga tunaousema huo.Arsenal could offer English attacking midfielder Emile Smith Rowe, 23, in a cash-plus-player deal with Aston Villa for their 25-year-old Brazilian midfielder Douglas Luiz. (football.london)
Chukulia Kama tetesi, huyo mtoto Arteta anampenda Sana,Ndo ujinga tunaousema huo.
Zinaanzaga hivi hivi, mi namkubali sana tabu yake majeruhi.Chukulia Kama tetesi, huyo mtoto Arteta anampenda Sana,
Aende tu unai kwa kipengele chenye masilahi na asenali pia maana kwa ninavyoiona asenali ya sasa emil hatoboi kwenye kikosi cha kwanzaArsenal could offer English attacking midfielder Emile Smith Rowe, 23, in a cash-plus-player deal with Aston Villa for their 25-year-old Brazilian midfielder Douglas Luiz. (football.london)
Anatoboa vzr tu, mchawi injury tuAende tu unai kwa kipengele chenye masilahi na asenali pia maana kwa ninavyoiona asenali ya sasa emil hatoboi kwenye kikosi cha kwanza
After International break nadhani Odegaard, Jesus na Benny Blanco White watakuwa wamerudi...kama na Emile naye atakuwa tyri itakuwa fresh...maana mechi hapo zitakuwa nyng sana....tuombee hii International break tusipate majeruhi yyteAnatoboa vzr tu, mchawi injury tu
Alirudi hapa juz akaonesha uwezo mzuri na akatengeneza magoli mawili ,
Akawa ameshaanza kutaka namba ,gafla kaumia ,after international break anarudi
Hata Smith Rowe atakuwa karudi,After International break nadhani Odegaard, Jesus na Benny Blanco White watakuwa wamerudi...kama na Emile naye atakuwa tyri itakuwa fresh...maana mechi hapo zitakuwa nyng sana....tuombee hii International break tusipate majeruhi yyte