Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Huyu ni shabiki mwenzetu wa Arsenal, hajui chochote zaid ya kuwaangalia Newcastle wanapocheza na big team tu bas kwaiyo swali hilo hawezi kujibu[emoji16]Sijapendezwa na tabia ya shabiki wa nyukesto Labyrinth 84 kukimbia maswali. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ninatoa wito kwa wanaArsenal wenzangu mnisaidie kumuuliza hili swali mpaka atakapolijibu.
"Trace msimu ambao kikosi chako chote kilikua fit kisha taja kikombe mlichochukua"
Wito wangu uwaguse mkorea hamis77 MalcolM XII zitto junior Raymanu KE Ulimakafu HENRY14 arsenal2004 Mjusi_kafiri BJB FC na kila shabiki wa Arsenal niliyemsahau.
Mpaka akijibu hili swali ndipo tutaendelea na mengine.