mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,678
- 19,490
Isack na Wilson position moja hawapo
Jesus na Nketia position moja hawapo
Mkiambiwa kuna umuhimu wa Versatile player mnaleta maneno mengi
Ode hana umuhimu??
Ben white ???
Jesus???
Partey???
Yani sie hata akiumia Saliba Raya anakamua RCB fresh tu na kinakua kama hakijatokea kitu![]()



