Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kabla hata makundi hayajapangwa nilishasema tunaenda Wembley mwaka huu

Hadi Sasa Nusu fainal uhakika

Fainal tunaendaje hapa?

Tunahitaji kuongeza kiungo kuliko CF

Arsenal wameachana na porojo za kusajili CF January,

Bali watawekeza pesa kubwa kusajili Hybrid Midfield yaani anayeweza kucheza 6/8

Mikel na Bodi nzima target no.1 Ni Douglas Luiz ,

Vikwazo vya FFP vinazuia kutumia pesa kubwa January , So Nini kifanyike ?

Nikuwekeza pesa kubwa kwa kiungo sababu Partey atarudi January pia summer ataondoka ,maandalizi Ni mapema

Target ya 2 Ni Zubimendi ,Lakini amesema anapemdelea kuondoka Sociedad ,Summer na sio January baada ya kuwa wamefuzu round 16

January Arsenal wamepanga kumbeba Luiz , na sio CF sababu FFP hairuhusu

Hapa Sasa ndio unaona Klabu inaendeshwa kwa mipango na akili

Tuna watu karibu watano wanaocheza CF, Kai ,Jesus, Trosaard na Nketiah

Why uwekeze January €70-100m kwa CF ,

Kuongezeka kwa Kiungo Kama Luiz anayeweza kucheza Lone DM na CM .,inamaana watacheza na Rice mmoja DM mmoja LCM.

Kai anaonekana Sasa Ni RCM na CF

Summer ,Elneny na Jorginho wataondoka na ndio muda wakusajili Zubimendi

So Douglas Luiz Ni mbadala wa Partey
Zubimendi Ni mbadala wa Jorginho

Hivi ndio rebuild inafanyika bila kuathiri ubora wa timu .

Sikuwahi kuamini Arsenal iwekeze huge money kwa CF January ,David ornstein alithibitisha hili

Summer ndio kipind tutawekeza kwa CF, CB na RW Basi

Kufikia January-Fabruary Timber pia atakuwa amerejeaView attachment 2809436
Ngoja mkutane na Bayern au Madrid mnyolewe na vigae vya chupa
Mtajuta kushiriki UEFA
 
Arsenal recruit Declan Rice as long term DM

But maajabu wamekuta mwamba akiwekwa LCM anazima kwa A+

Why anatakiwa Douglas Luiz?

Huyu ni

[emoji599]Passer mzuri
[emoji599]Technical ability kubwa
[emoji599]Press resistance

Ana uwezo wa kucheza lone DM ,kitu ambacho kitamfanya watengeneze combination hatari Sana na Declan Rice alongside Ødegaard.

Bodi ya Arsenal imekubaliana Douglas Luiz ndiye Top Target eneo la Midfield

20231110_054703.jpg
 
Martin Zubimendi

[emoji860]Anticipation, Decision Making, Passing skills, Aerial Duels, Ball Blocking, Long Balls Experts, Physicality, Balanced offensive and Defensive , Etc

Kubwa kabisa Availability [emoji110]
20231109_221826.jpg
 
One was bought for €100m and another for £6m.

One is shining and another one is doing acrobatics and spins for tik tok
20231109_164641.jpg
20231110_151411.jpg
 
Mtapigwa mchakae ,wale madogo akina vinni na Bellingham watawatoa firigisi
Labda kama sifatilii mpira

Uzuri sidanganywi, Madrid huyu aliyetolewa ulimi nje na Sevilla ,

Kitu Cha kwanza ambacho naamini Madrid hawez ku control mechi mbele ya Arsenal

Same to barcelona

Nisiongee Sana ,tutakutana nao ,naomba Sana nikutane na Madrid

Hii Arsenal ya Sasa hasa msimu huu ukipata On target unafurahi ,

Kuna vitu vichache tu vya kufix

Hapo tunawakosa mafundi Kama

Partey Ødegaard Rowe Timber

Uzuri February watakuwa fit ,
 
Soon Spurs atarusha taulo kwenye mbio za ubingwa

Udogie suspended
Romero suspended for 3 games
Van de virg injured
Maddison injured for 3months

We actually ended Spurs season [emoji24]
 
Arsenal recruit Declan Rice as long term DM

But maajabu wamekuta mwamba akiwekwa LCM anazima kwa A+

Why anatakiwa Douglas Luiz?

Huyu ni

[emoji599]Passer mzuri
[emoji599]Technical ability kubwa
[emoji599]Press resistance

Ana uwezo wa kucheza lone DM ,kitu ambacho kitamfanya watengeneze combination hatari Sana na Declan Rice alongside Ødegaard.

Bodi ya Arsenal imekubaliana Douglas Luiz ndiye Top Target eneo la Midfield

View attachment 2809696
tatizo la Arsenal ni wanaweka sana wazi mambo kama haya, unless ni smokescreen tu na kuna actual target mwingine. Mambo kama haya unakaa nayo kimya ili udeal na watu bila kuamiwa na akina tajiri miluzi.

Nakumbuka kuna wakati Spurs walikuwa na Moussa Dembele. Huyu Luiz unamuona ni kama Dembele?
 
Arsenal recruit Declan Rice as long term DM

But maajabu wamekuta mwamba akiwekwa LCM anazima kwa A+

Why anatakiwa Douglas Luiz?

Huyu ni

[emoji599]Passer mzuri
[emoji599]Technical ability kubwa
[emoji599]Press resistance

Ana uwezo wa kucheza lone DM ,kitu ambacho kitamfanya watengeneze combination hatari Sana na Declan Rice alongside Ødegaard.

Bodi ya Arsenal imekubaliana Douglas Luiz ndiye Top Target eneo la Midfield

View attachment 2809696
Luiz ni LCM bro. kwa hiyo unaamini Luiz atacheza DM na Rice acheze LCM? Aje zubi, Luiz or whatever watacheza lcm tu. Kwa sasa huwezi kupata mchezaji anacheza DM kumzidi Declan Rice, hakuna, iko wazi.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] na performance yenu ya kuungaunga kama hiyo ?
 
Labda kama sifatilii mpira

Uzuri sidanganywi, Madrid huyu aliyetolewa ulimi nje na Sevilla ,

Kitu Cha kwanza ambacho naamini Madrid hawez ku control mechi mbele ya Arsenal

Same to barcelona

Nisiongee Sana ,tutakutana nao ,naomba Sana nikutane na Madrid

Hii Arsenal ya Sasa hasa msimu huu ukipata On target unafurahi ,

Kuna vitu vichache tu vya kufix

Hapo tunawakosa mafundi Kama

Partey Ødegaard Rowe Timber

Uzuri February watakuwa fit ,
Hivi unaijua Real Madrid ya UEFA lakini we jamaa ?
Yaani Arsenal ninyi ndio wa kumvimbia Madrid UEFA ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Tupo hapa ,mtaona kinachowakuta
 
Soon Spurs atarusha taulo kwenye mbio za ubingwa

Udogie suspended
Romero suspended for 3 games
Van de virg injured
Maddison injured for 3months

We actually ended Spurs season [emoji24]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] na performance yenu ya kuungaunga kama hiyo ?
 
Na Mimi ndio nawataka hao

Mark my words usiishi kwa mazoea

Hakuna timu naitaman Kama Madrid ,
Hakuna timu naitaman Kama Bayern na Barca

Ule Moto tuliomuonesha Barca kipindi Cha pre season tukikutana nae tunau-triple
 
Soon Spurs atarusha taulo kwenye mbio za ubingwa

Udogie suspended
Romero suspended for 3 games
Van de virg injured
Maddison injured for 3months

We actually ended Spurs season [emoji24]
Nyumbu alirusha kitaulo kipindi Cha pre - season
Kenge ndio hawana hata hiko kitaulo

1. Arsenal
2. City
3. Spurs
4. ?
 
Huyo fofana anaupiga mwingi au yeye ana nguvu?
Physicality na pasi zenye macho....England sasahv watu nyoronyoro watasumbuka sana...yle bwana mdogo ni mzuri sana kwny hzo aspects....Zubimendi is more of Busquets...anajua kupora mpira pasi na kusababisha faulo na pia anapiga pasi zenye macho...lakini ukiniuliza mm ntakwambia Zubimendi tyri profile yake tunaye Declan Rice...so we need Fofana the most...tutakuwa na kiungo chenye nguvu na kumiliki mpira kwa muda mwingi wa mechi hata na hzi timu kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom