Kabla hata makundi hayajapangwa nilishasema tunaenda Wembley mwaka huu
Hadi Sasa Nusu fainal uhakika
Fainal tunaendaje hapa?
Tunahitaji kuongeza kiungo kuliko CF
Arsenal wameachana na porojo za kusajili CF January,
Bali watawekeza pesa kubwa kusajili Hybrid Midfield yaani anayeweza kucheza 6/8
Mikel na Bodi nzima target no.1 Ni Douglas Luiz ,
Vikwazo vya FFP vinazuia kutumia pesa kubwa January , So Nini kifanyike ?
Nikuwekeza pesa kubwa kwa kiungo sababu Partey atarudi January pia summer ataondoka ,maandalizi Ni mapema
Target ya 2 Ni Zubimendi ,Lakini amesema anapemdelea kuondoka Sociedad ,Summer na sio January baada ya kuwa wamefuzu round 16
January Arsenal wamepanga kumbeba Luiz , na sio CF sababu FFP hairuhusu
Hapa Sasa ndio unaona Klabu inaendeshwa kwa mipango na akili
Tuna watu karibu watano wanaocheza CF, Kai ,Jesus, Trosaard na Nketiah
Why uwekeze January €70-100m kwa CF ,
Kuongezeka kwa Kiungo Kama Luiz anayeweza kucheza Lone DM na CM .,inamaana watacheza na Rice mmoja DM mmoja LCM.
Kai anaonekana Sasa Ni RCM na CF
Summer ,Elneny na Jorginho wataondoka na ndio muda wakusajili Zubimendi
So Douglas Luiz Ni mbadala wa Partey
Zubimendi Ni mbadala wa Jorginho
Hivi ndio rebuild inafanyika bila kuathiri ubora wa timu .
Sikuwahi kuamini Arsenal iwekeze huge money kwa CF January ,David ornstein alithibitisha hili
Summer ndio kipind tutawekeza kwa CF, CB na RW Basi
Kufikia January-Fabruary Timber pia atakuwa amerejea
View attachment 2809436