Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Asanteni sana mkuu kwa kazi nzuri mliyoifanya....sasa na weekend ijayo tunaomba mfanye kwa Guardiola mlichokifanya leo[emoji3][emoji3]....Liverpool wameshalipiwa dhuluma yao...bdo sisi kwa wale Nyukesto lile goli la mchongo na mieleka ya Bruno...ipo siku tu
Sema nini TOT wamearibu michezo yao peke yao. Wanatumia nguvu kuliko akili. Wanacheza rafu za kijinga sizo na maana sasa imewakosti.